Pre GE2025 Picha: Nape Nnauye atua mtaani akiwa na nguo za kiraia huku akila ubwabwa na wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sarakasi Zimeanza Sasa Hivi
Namkumbusha Mwaka Hakuna Kupita Bila Kupingwa
 
Wakuu,

Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.

Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana

Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.

Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.

Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!

Ubabaishaji na usanii mtupu. Mbona siku zote hakufanya haya?
 
Wakuu,

Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.

Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana

Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.

Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.

Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!

Ndio maana simuoni jukwaani
 
Mwenzie kapeleka madraft huko
 
Wakuu,

Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.

Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana

Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.

Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.

Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!

[emoji23][emoji23] Sazingine mtu ukifanya maigizo inabidi kuchagua mazingira na angalau watu mtakaoendananao angalau kwa muonekano.

Apo mnyonyaji anaonekana tofautikabisa na hao wenzakeapo.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,

Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.

Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana

Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.

Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.

Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!

Kwani Nape ni mwanajeshi Hadi useme amevaa nguo za kiraia?
 
K
Wakuu,

Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.

Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana

Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.

Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.

Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!

Kwani Nape sio raia?
 
Tangu lini mwanasiasa wa Tanzania anaenda kukutana na wananchi anavaa mkofia wa kushona kwa mkono na track suits za mazoezi?

Yaani Nape ni wa kukutana na wananchi na ma Tshirt ya Foma Gold?
Nape toka akiwa mwenezi namfaham, yeye anapenda casual Sana,jeans na hizi form six...acheni kuropoka ropoka tu.
Na kama hapo ni msibani?
 
Huo ulaji wa kuchangia sinia moja la chakula ni wa kizamani sana! Na sijajua ni kwa nini kuna watu bado wanaendelea kuutumia kwenye hii karne iliyojaa magonjwa ya kila aina.
 
Back
Top Bottom