PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kwani umesikia wananzania wana mahitaji yoyote? Tanzania sasa hivi ndiyo nchi pekee ambayo ssrikali yake, imamaliza mambo yote muhimu na ndiyo maana kilichobaki sasa hivi ni kumsifu rais.Kwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?