mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Itabidi siku nkija lindi nkucheki mzee kimya kimyaPicha Sina mkuu kwenye hii simu ila ni mkoa wa lindi kama unavyojua bado haujajengeka mapori ni mengi so na mimi sijui nilipapendea nini kwenye ile hill iko above m 500 na upande wa mashariki unajioneA Bahar Kuu ambayo ukiwa Lindi town huion zaidi ya mkondo wa bahari picha nitajitahid nikutafutie.
Ova