PICHA: Nchi kama hii hata magonjwa utayasikia redioni tu

Mleta mada hujazunguka sehemu nyingi hapa Tanzania tu kuna sehemu nzuri sana huwezi kuamini kama ni Tanzania.Mfano huko mamaisara Mbulu, baadhi ya maeneo Ludewa, Lushoto n.k tena hali ya hewa safi hakuna barafu msimu wa baridi kama huko!

 
Habari haihusiani kabisa na ulichoandika ila usije kuta mwanao akaolewa na muislam na hakika mara nyingi huwa hivo kwa watu wene chuki kama yako..jitahidi ukipata muda soma Quraan ingia Google andika tu Quraan in English then enjoy chuki itakuisha..pia soma the life of prophet Mohammed.
 
Picha no tofauti na uhalisia, Hapo utakuta kuna mbu wengi sana, vijidudu vya magonjwa au hali ya hewa wa kutosha!
Kama kusoma sayansi kimu, utakumbuka mbu wako ukanda wa kitropiki kwenye joto. Kuuacha hayo wenzetu wana pesa za kufanya fumigation mpaka maporini huko kusiko na watu.
 

Pumzi inakupa kibri, so umauti ukikufika ndio utaongea vizuri.

Palivyopauka sasa 😄 🤣

Ni mtihani sheikh, ni bora angekausha tu akakubali matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…