Picha ni kumbukumbu nzuri, lakini wanaume tupunguze kujipost mitandaoni

Fanya mambo yako kila mtu na maisha yake hatuwezi kuishi mtindo wa maisha unaofanana watu wote.
 
As long as haikuathiri acha kuipa nafasi kwenye kichwa chako hadi kuandikia uzi, hakuna formula ya kuishi hapa duniani hivyo standards zako usizifanye ndio formula za kuishi watu wengine
 
Punguza kujipost wutakufanyia kitchen party yako
 
Mimi kila nikikaa kilingeni naenda live imensaidia kuniongezea wateja hususani kipindi hiki cha karibu na uchapuzi
 
Back
Top Bottom