Picha: Nimesikitika sana kuona Naibu Waziri anaenda kuzindua na kupongeza daraja kama hili. Hili daraja limegharimu kiasi gani?

Mafuta ya v8 lake Toka Dom yanajenga madaraka kumi kama hayo
 
Nimecheka tu
 
Darala la zege hilo
Daraja la gharama kubwa hilo, taxama mawe yaliojazwa kwenye kingo na lenyewe la kiwango cha zege.

Hapo hata semitrailer iliyoshiba mzigo inakatiza.
Da Faiza mbinguni huendi πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ»
 
Hiyo profile yako remmy ongala inanikumbusha wimbo wake

"Wema wema k-nyokoπŸ₯ΆπŸƒβ€β™‚️"
Kila siku kabla ya kulala nyosha mikono juu sema "nchi ya kipumbavu sana hii" mara tatu.
 
Darala la zege hilo
Daraja βœ”οΈ

Darala βœ–οΈ

Hivi huko Canada ulienda kusomea ujinga?
Daraja la gharama kubwa hilo, taxama mawe yaliojazwa kwenye kingo na lenyewe la kiwango cha zege.
Unaweza kutupa BOQ yake ?
Hapo hata semitrailer iliyoshiba mzigo inakatiza.
Semi -trailer βœ”οΈ

Semitrailerβœ–οΈ

Hiyo semi- trailer labda ya kuchora ndio itapita hapo.

Huoni hata aliyeenda kuzindua hajathubutu kupita hapo na gari yake?
 
 
Hapo wamezingua yani hata usafi wameshindwa kufanya, Sina hakika kama alifanya ziara tu kwenye hilo daraja MH, alikuwa na mambo yake akapitia tu hapo maana Hilo halina hata hadhi ya kuzinguliwa na diwani wa viti maalumu hapo wangetafuta katibu tawi wa CCM alizindue tu
 
Dah! Hii nchi vichekesho ni vingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…