Picha: Nimesikitika sana kuona Naibu Waziri anaenda kuzindua na kupongeza daraja kama hili. Hili daraja limegharimu kiasi gani?

😅😅😅😅
 
Wapi hiii
 
Hata Mimi nmesikitika Sanaa

Huu ni udhalilishaji Kwa wananchi na usumbufu.
 
Aisee!!
!
 
Tlaatlaah hongereni Sana kwa Ujenzi.
wananchii binafsi katika maeneo mbalimbali nchini, wakijitolea kurekebisha miundombinu korofi katika maeneo ya wananchi kwa maslahi ya wananchi wa eneo husika, ni muhimu sana wakapongezwa na kutiwa moyo na kila mTanzania
 
Chama chetu, wajameni CHADEMA, tuuze sera.

Kuwachonganisha wananchi na Serikali yake,inajenga uhasama tu. Haitatupa kura hii batanzani.

No reforms No erections.
 
wananchii binafsi katika maeneo mbalimbali nchini, wakijitolea kurekebisha miundombinu korofi katika maeneo ya wananchi kwa maslahi ya wananchi wa eneo husika, ni muhimu sana wakapongezwa na kutiwa moyo na kila mTanzania
Ndo muandae bajeti kubwa kwenda kupongeza hizo juhudi🥺 ama hakika mbele kwa mbele haijalishi kuna shimo au kiza totoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…