Picha: Nimesikitika sana kuona Naibu Waziri anaenda kuzindua na kupongeza daraja kama hili. Hili daraja limegharimu kiasi gani?

Ila kuwa mwana ccm inatakiwa 'fyuzi' ziwe zimekatika halafu uwe na kiwango kikubwa sana cha ukosefu wa haya.
 
Tanzania ni channel ya vichekesho huko mbinguni
 
Unastaajabu nini? Hilo daraja halijajengwa ns serikali ni TASAF wamejenga
.wananchi wamefurahi hivyo hivyo lilivyo
TASAF ni nini kwani kama siyo serikali? Pesa za TASAF zinatoka wapi ndugu.
 
Sasa wananchi wameonesha juhudi zao za maendeleo wakaamua kumualika waziri mlitaka akatae?
 
Maelekezo ya Mchengerwa hata kama ni baiskeli moja inakabidhiwa hakikisha mbunge wa Jimbo husika si tu umemualika bali amehudhuria.

Na tukumbuke watumishi nao wanafamilia zinazowategemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…