PICHA: Ninadra sana DC au RC kupendwa na Wananchi namna hii

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,157
Reaction score
5,451
UTANGULIZI;

Hii Wilaya hapo zamani hakuni siku ilipita bila wakulima na Wafugaji kuchomana mikuki na kukatana mapanga,

Ukweli usemwe tangu kiongozi huyu akabidhiwe Wilaya hii mambo ni shwari mpaka tunajiuliza Kilosa nini kimefanyika? Hakika Uongozi ni kipaji na uwezo Kwa pamoja.

==
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Kilangali, kijiji cha Kiduhi kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero ikiwa ni pamoja na kuzungumza na wananchi hao.

DC Shaka akiambatana na kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Kilosa alikagua ujenzi wa Zahanati ya Kiduhi, Ujenzi wa mabanda matatu ya Shule ya msingi inayojengwa kwa nguvu za wananchi, kupokea taarifa ya mradi mkubwa wa uchimbaji kisima cha kusambazia maji safi na salama pamoja na kupata fursa ya kuwasikiliza wananchi juu kero, changamoto na kufanya mashauriano kuhusu maendeleo ya kijiji hiko.

Aidha alitumia fursa hiyo kusisitiza haja ya wananchi kuishi kwa upendo na kuheshimiana ili kuepuka migogoro isiyo na tija kwa upande wafugaji na wakulima.

Aidha katika mkutano huo DC Shaka amefanikiwa kumaliza mgogoro wa wafugaji ambao walitaka kukutana na mkuu wao wa wilaya ili kumueleza baadhi ya changamoto na kuweka mikakati ya utatuzi katika kuhakikisha wanatoa huduma hiyo kwa ufanisi na mafanikio.

#Kaziututunasongambele
#Samiampangomzima
#Samia5tena.
 
HAPA DC ANAVISHWA VAZI LA HESHIMA NA WANANCHI-WAFUGAJI
IMG-20250617-WA0149(1).jpg
 
Hongera sana Shaka unafaa zaidi
 
Tembelea vjjijini kiongozi,baadhi ya vijiji huduma za jamii ni ngumu sana,mfano kijiji cha kwambe kata ya dumila pale,ile shule iko meta mia 500 kutoka barabara kuuu ya dom,lakini ishule ni kama imetelekezwa kabisa kabisa kabisa,mazingira hayafai kabisa.
Niliwahi fika pale mara kadhaa roho ilinuima sana,nyinyi viongozi mfanye jambo pale.
 
Kusema kwamba ilikuwa haipiti siku bila Wakulima na Wafugaji kuchomana Mikuki na kukatana Mapanga si kweli, ingawa ni kweli kulikuwa na matukio hayo mara kadhaa, hata hivyo huwezi kuhitimisha kwamba jambo hilo halitatokea tena katika Wilaya hiyo, hata kama wameweka mipango ya matumizi bora ya ardhi kati ya Wakulima na Wafugaji.

Mimi nilishashuhudia migogoro kadhaa kati ya Wakulima na Wafugaji wa Wilaya hiyo, sababu kuu ni Mifugo kuingia kwenye mashamba ya Wakulima, hivyo sidhani kama mwarobaini wa suala hilo umepatikana ukizingatia bado kuna mashamba yapo kando ya mapito ya Mifugo.

Labda kama ungesema huyo unayempigia Chapuo kaja na Mkakati gani katika Wilaya hiyo hadi iwe suluhu ya migogoro kati ya Wakulima na Wafugaji tofauti na wengine waliomtangulia.
 
Back
Top Bottom