Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
RC Mzanzibar kwa Tanganyika labda jua litokee kusiniTunataka apewe U-RC kabisa kwani kazi anazozifanya ni nzuri sana

Tatizo la jamaa akinyimwa uwaziri anafuraComrade Mpina Anatosha
Mwaka wa uchaguzi huwa na vituko sanaView attachment 3373649HAPA DC ANAONGEA NA WANANCHI
😄🤣😁😂😁🤣🤣🤣😄😄😄Tatizo la jamaa akinyimwa uwaziri anafura
😂😂😄🤣😁😂😁🤣🤣🤣😄😄😄
Badilini katiba kwanza ndio mlete huu ubaguziTushachoka hawa wa zanzibari warudi kwao
Shaka anapendwa sawa ila shida Yuko CÇM sasa.UTANGULIZI;
Hii Wilaya hapo zamani hakuni siku ilipita bila wakulima na Wafugaji kuchomana mikuki na kukatana mapanga,
Ukweli usemwe tangu kiongozi huyu akabidhiwe Wilaya hii mambo ni shwari mpaka tunajiuliza Kilosa nini kimefanyika? Hakika Uongozi ni kipaji na uwezo Kwa pamoja.
==
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Kilangali, kijiji cha Kiduhi kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero ikiwa ni pamoja na kuzungumza na wananchi hao.
DC Shaka akiambatana na kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Kilosa alikagua ujenzi wa Zahanati ya Kiduhi, Ujenzi wa mabanda matatu ya Shule ya msingi inayojengwa kwa nguvu za wananchi, kupokea taarifa ya mradi mkubwa wa uchimbaji kisima cha kusambazia maji safi na salama pamoja na kupata fursa ya kuwasikiliza wananchi juu kero, changamoto na kufanya mashauriano kuhusu maendeleo ya kijiji hiko.
Aidha alitumia fursa hiyo kusisitiza haja ya wananchi kuishi kwa upendo na kuheshimiana ili kuepuka migogoro isiyo na tija kwa upande wafugaji na wakulima.
Aidha katika mkutano huo DC Shaka amefanikiwa kumaliza mgogoro wa wafugaji ambao walitaka kukutana na mkuu wao wa wilaya ili kumueleza baadhi ya changamoto na kuweka mikakati ya utatuzi katika kuhakikisha wanatoa huduma hiyo kwa ufanisi na mafanikio.
#Kaziututunasongambele
#Samiampangomzima
#Samia5tena.
HakikaApewe tu huo U-RC
🤣🤣Ila wabongo tuko ziro sana kama Mzanzibar anaweza kuwa Rais halafu Mzanzibar huyo huyo asiweze kuwa RC!!!!..Shaka ni Mzanzibari hapaswi kuwa DC huku Tanganyika
Acha uongo, Dc hana mamlaka ya kumfukuza kazi mtendaji.View attachment 3373648
Hapa DC anamfukuza kazi Mtendaji Kwa Matumizi mabaya ya madaraka
😂😂😂😂😂Huyu ni mtoto wa WATU
Ameolewa na SALUM MPELEMBWE Wa TANGA
Kila lenye kheri ComredUTANGULIZI;
Hii Wilaya hapo zamani hakuni siku ilipita bila wakulima na Wafugaji kuchomana mikuki na kukatana mapanga,
Ukweli usemwe tangu kiongozi huyu akabidhiwe Wilaya hii mambo ni shwari mpaka tunajiuliza Kilosa nini kimefanyika? Hakika Uongozi ni kipaji na uwezo Kwa pamoja.
==
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Kilangali, kijiji cha Kiduhi kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero ikiwa ni pamoja na kuzungumza na wananchi hao.
DC Shaka akiambatana na kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Kilosa alikagua ujenzi wa Zahanati ya Kiduhi, Ujenzi wa mabanda matatu ya Shule ya msingi inayojengwa kwa nguvu za wananchi, kupokea taarifa ya mradi mkubwa wa uchimbaji kisima cha kusambazia maji safi na salama pamoja na kupata fursa ya kuwasikiliza wananchi juu kero, changamoto na kufanya mashauriano kuhusu maendeleo ya kijiji hiko.
Aidha alitumia fursa hiyo kusisitiza haja ya wananchi kuishi kwa upendo na kuheshimiana ili kuepuka migogoro isiyo na tija kwa upande wafugaji na wakulima.
Aidha katika mkutano huo DC Shaka amefanikiwa kumaliza mgogoro wa wafugaji ambao walitaka kukutana na mkuu wao wa wilaya ili kumueleza baadhi ya changamoto na kuweka mikakati ya utatuzi katika kuhakikisha wanatoa huduma hiyo kwa ufanisi na mafanikio.
#Kaziututunasongambele
#Samiampangomzima
#Samia5tena.
komanyookooo hivi huyu mzanzibar anawezaje kuwa DC huku tanganyika??UTANGULIZI;

Hongera sana ShakaUTANGULIZI;

DC hana mamlaka ya kumfukuza kazi Mtendaji, hata uwezo wa kumhamisha kituo hana achilia mbali kumfukuza. Wacha udanganyifu wako humu. Mtendaji Mamlaka yake ya nidhamu ni DED siyo DC. By the way, hii branding ya huyu Shaka kuna agenda gani nyuma yake? Mbona imekuwa ghafla sana?! Hii promo yote ya Nini?!View attachment 3373648