PICHA: Ninadra sana DC au RC kupendwa na Wananchi namna hii

Huyo mzanzibari kachomekwa pale Kilosa kulinda maslahi kiongozi mmoja anapokosolewa anaonesha hasira za bayana mbele ya kadamnasi bila kujali athari za matamko yake kisiasa
Tunataka apewe U-RC kabisa kwani kazi anazozifanya ni nzuri sana
 
Sasa unajificha nini si uje na vefiried account ujipigie debe humu ili uone kama unapendwa kweli .

Sio hizo unpalatable sideshows unafanya hapa.
 
Hii yangu ni Verified kitambo
 
UTANGULIZI;

Hii Wilaya hapo zamani hakuni siku ilipita bila wakulima na Wafugaji kuchomana mikuki na kukatana mapanga,

Ukweli usemwe tangu kiongozi huyu akabidhiwe Wilaya hii mambo ni shwari mpaka tunajiuliza Kilosa nini kimefanyika? Hakika Uongozi ni kipaji na uwezo Kwa pamoja.

==
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Kilangali, kijiji cha Kiduhi kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero ikiwa ni pamoja na kuzungumza na wananchi hao.

DC Shaka akiambatana na kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Kilosa alikagua ujenzi wa Zahanati ya Kiduhi, Ujenzi wa mabanda matatu ya Shule ya msingi inayojengwa kwa nguvu za wananchi, kupokea taarifa ya mradi mkubwa wa uchimbaji kisima cha kusambazia maji safi na salama pamoja na kupata fursa ya kuwasikiliza wananchi juu kero, changamoto na kufanya mashauriano kuhusu maendeleo ya kijiji hiko.

Aidha alitumia fursa hiyo kusisitiza haja ya wananchi kuishi kwa upendo na kuheshimiana ili kuepuka migogoro isiyo na tija kwa upande wafugaji na wakulima.

Aidha katika mkutano huo DC Shaka amefanikiwa kumaliza mgogoro wa wafugaji ambao walitaka kukutana na mkuu wao wa wilaya ili kumueleza baadhi ya changamoto na kuweka mikakati ya utatuzi katika kuhakikisha wanatoa huduma hiyo kwa ufanisi na mafanikio.

#Kaziututunasongambele
#Samiampangomzima
#Samia5tena.
Ni rare sana
 
Basi sasa hivi atatekwa huyu, CCM hii, hawanaga mchezo, wakiona mtu wao anafanya vizuri tu wanamshughlikia mara moja kwa kuwa wanaona haendani na fikra zao.
 
Sijui kuhusu Philip Mpango lkn USIMUAMINI hata kwa 0.0000000001% mwana CCM yeyote kwenye suala la kukusanyika kwa watu,ni lazima yeye ndiye kawakusanya kwa kuwasomba huko na kule na wakati mwingine unaweza kuta hao woooote wenyeji wa eneo husika ni viongozi tu wengine ni wenyeji FAKE.
 
Back
Top Bottom