PICHA: Ninadra sana DC au RC kupendwa na Wananchi namna hii

Huyo mzanzibari kachomekwa pale Kilosa kulinda maslahi kiongozi mmoja anapokosolewa anaonesha hasira za bayana mbele ya kadamnasi bila kujali athari za matamko yake kisiasa
Tunataka apewe U-RC kabisa kwani kazi anazozifanya ni nzuri sana
 
Sasa unajificha nini si uje na vefiried account ujipigie debe humu ili uone kama unapendwa kweli .

Sio hizo unpalatable sideshows unafanya hapa.
 
Sasa unajificha nini si uje na vefiried account ujipigie debe humu ili uone kama unapendwa kweli .

Sio hizo unpalatable sideshows unafanya hapa.
Hii yangu ni Verified kitambo
 
Ni rare sana
 
Basi sasa hivi atatekwa huyu, CCM hii, hawanaga mchezo, wakiona mtu wao anafanya vizuri tu wanamshughlikia mara moja kwa kuwa wanaona haendani na fikra zao.
 
Sijui kuhusu Philip Mpango lkn USIMUAMINI hata kwa 0.0000000001% mwana CCM yeyote kwenye suala la kukusanyika kwa watu,ni lazima yeye ndiye kawakusanya kwa kuwasomba huko na kule na wakati mwingine unaweza kuta hao woooote wenyeji wa eneo husika ni viongozi tu wengine ni wenyeji FAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…