PICHA: Ninadra sana DC au RC kupendwa na Wananchi namna hii

Shaka anapendwa sawa ila shida Yuko CÇM sasa.
 
Kila lenye kheri Comred
 
komanyookooo hivi huyu mzanzibar anawezaje kuwa DC huku tanganyika??
 
Hongera sana Shaka
 
View attachment 3373648
Hapa DC anamfukuza kazi Mtendaji Kwa Matumizi mabaya ya madaraka
DC hana mamlaka ya kumfukuza kazi Mtendaji, hata uwezo wa kumhamisha kituo hana achilia mbali kumfukuza. Wacha udanganyifu wako humu. Mtendaji Mamlaka yake ya nidhamu ni DED siyo DC. By the way, hii branding ya huyu Shaka kuna agenda gani nyuma yake? Mbona imekuwa ghafla sana?! Hii promo yote ya Nini?!
 
Chombo kwa hewa!!
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…