Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

Damu za watu zinamlilia
pesa alishakula, madaraka Hana Tena, je uliowazulumu maisha yao ni kwa faida ya nanii?
 
Reactions: BAK
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Humuoni anaomba? Mbona unahangaika sana wewe nyang'ao kwanini usihangaike na Kunyaland yako??
 
Angekuwa na uhusiano mzuri na Mungu asingegawa rushwa kule Kigamboni
 
Halalbadri alizosomewa kwa maovu yake mbali aliyoyafanya tangu 2015 ikiwemo utekaji, utesaji na mauaji zimeanza kufanya kazi.

Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
 
Mngejihusisha na mambo ya maisha siyo kufuatilia tu wenzenu wanafanya nini. Sisi wanaume huwa huo muda hatupati. Hayo mambo mengine muachieni mkewe.nyie mjikite kwenye mambo yenu.
Kwani huuoni mkoba wa kike hapo pembeni?
 
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Aende kwa tundu lissu akaombe msamaha kwa kumsababishia mwenzake ulemavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…