Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humuoni anaomba? Mbona unahangaika sana wewe nyang'ao kwanini usihangaike na Kunyaland yako??Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Kama ulivyo wewe mkuda!Mkuda sana Jamaa
Angekuwa na uhusiano mzuri na Mungu asingegawa rushwa kule KigamboniWewe nani hata umuite kinyesi mtu aliyeumbwa na Mungu? Wewe nani hata uzuie msamaha wake ikiwa Mungu ataamua kumrehemu?
Unahaki gani wewe mbele za Mungu hata ujihesabie haki? Ni kwlei chuki yako unayoionyesha hapa inakupa ujasiri na haki mbele za Mungu? imekupasa Toba. Damu ya Yesu ikutakase.
You dont know me whatsoever! TuliaKama ulivyo wewe mkuda!
Amedhulumu maisha ya watu wengi hatumwachi. Kama uko karibu naye mwambie hata sisi tukifa watoto wetu watadeal naye.
What's so special you ass!?You dont know me whatsoever! Tulia
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Kwani huuoni mkoba wa kike hapo pembeni?Mngejihusisha na mambo ya maisha siyo kufuatilia tu wenzenu wanafanya nini. Sisi wanaume huwa huo muda hatupati. Hayo mambo mengine muachieni mkewe.nyie mjikite kwenye mambo yenu.
So be it!Huyu jamaa tusipokuwa makini anaweza akachukua maamuzi magumu .
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nitamshangaa sana mungu endapo atasikiliza toba ya mwambaHuyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
"You ass!?"What's so special you ass!?
Aende kwa tundu lissu akaombe msamaha kwa kumsababishia mwenzake ulemavu.Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Khaaaa! [emoji15][emoji15][emoji15]Ni wake
Kanajiandaa kupokea mkono, maskini!!Anaikumbuka hii
View attachment 1522940