Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

Faiv yiaz orede finishidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Theni hi goti nathing moa thani hatipain for mudaringi sini.

Wajumbe ni kama wajuba tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama weeeeeeeh leo nakufa wallah. Mbavu zinauma.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila nimeamini hakuna wanafiki Kama wajumbe...Kuna mzee kazimia huku alichotegemea kwa wajumbe kimekuwa tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kule kwetu mgombea u diwan amebomoa nyumba za wajumbe, ambao aliwapa takrima, yaan awamu hii n ya wajumbe tyuuuh.
 
Wanajificha kwenye vivuli vya dini kumbe ni mashetani
 
Kutoka kupigiwa saluti na ving'ora mbele huku mbele na nyuma kuna walinzi hadi kuwa mzururaji wa jiji kiubinadamu akili lazima iyumbe kidogo.
Mliomo karibu nae mumchunge iko siku mtamkutakajingonga.
 
Machozi na damu za watu zinamlilia hasa pale ndumba zinapoexpire kifuatacho ni kuabika.Kumtumikia shetani hakujawahi lipa kabisa
 
Huyu jamaa tusipokuwa makini anaweza akachukua maamuzi magumu .



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
True tukapoteza ushahidi ingefaa wawahi mapema kumuhifadhi tusijepoteza ushahidi
1.Wasiojulika
2.Area D
3.Meko alipofichia pesa zetu
4.Ulipo mwili wa Ben
5.Nani behind viroba baharini na mto ruvu.
6.
Ilitakiwa awe ashapokonywa pasipoti kitambo asijetoroka
 
Kutoka kupigiwa saluti na ving'ora mbele huku mbele na nyuma kuna walinzi hadi kuwa mzururaji wa jiji kiubinadamu akili lazima iyumbe kidogo.
Mliomo karibu nae mumchunge iko siku mtamkutakajingonga.
Asifanye hivyo ushahidi usipotee
 
Kuna damu ni nzito sana, zinapomwagika huacha madhara makubwa sana nyuma yake. huyu lazima ukichaa uje umuingie.
 
Back
Top Bottom