House4Sale ( PICHA ) Nyumba inauzwa Kinondoni "B"

Hivi kweli milioni 82 akiipata baada ya kuuza hiyo nyumba atafanikiwa zaidi kimaisha?hiyo hela sijawahi kuishika lakini ni ndogo sana,milioni 200 angalau unaweza kufanya kitu cha maana.Lakini sio bure atakua amerogwa
 
Ila kila nikosoma coment za watu wengi zina changanya sn ...mara bei ndogo , mara karogwa ;hiyo hela ndogo sn hawez fanya kitu chochote laabds 200
 
Hizo nyumba za Dar es salaam hazina uwiano na bei zilizo kuwa zikiuzwa hata moja awali bei kubwa na zilikuwa hazina thamani hiyo .

Kwani asimilia 70% ya makazi ya Dar ni unplanned kwa maan zina poor infrastructure sasa cjui bei kubwa zilitoka wapi ? Hadi leo sija pata jibu..
 
Ni ujinga kuamini ukiwa na nyumba maisha ni mepesi...hivi hujui kuna watu waliuza nyumba wakapata mitaji,wakafanya biashara,wakafanikiwa kujenga magorofa ???
 
ukileta tangazo la biashara jf kuna wanavyuo wapo huko kazi yao ni kukutoa makosa tu hata mia mfukoni hawana
 
Huyo bibi hataki hio nyumba iuzwe. Na mkiiuza huyo bibi atahamia wapi?
 
Nime scroll mara 5 kwenda juu na chini. ... nimeongeza mwanga 10x kumsaka huyo bibi aliyekaa kinyonge. ......nimetoka kapa
Kweli bi mkubwa anaonekana mawazo yamemzidia msiuze hiyo nyumba labda kama kuna tatizo kubwa .isiwe mtaji kwa kipindi hikii watu wanalia ktk biashara
 
Comments kuhusu bibi nimecheka sana.
 
Wadau wenye pesa ndio kipindi cha kukamata sehemu hot kama hizo neema ikija hizi nyumba utaishia kuziona ukipita hiyo mitaa wekezeni kama unahela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…