Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama wanaona bei ni ndogo wakupe bei ya hiyo nyumba halafu waiuze wao,na hela zilizozidi zote wakupe,kama kweli ni waungwana kiasi hicho!Ndugu yangu mbona unapenda kuhisi?. Huyo bibi wewe unamjua ni nani?.
Na mbona hapa sikusema kwamba anayeuza hii nyumba ni huyo bibi. Unasema eti inaonyesha huyo bibi hajaridhika kuuzwa nyumba. Wewe unamjua huyo ni nani?. JF ya siku hizi kweli siyo kama ile ya zamani kwakweli.
Ndugu yangu soma vizuri tangazo. Hakuna mizengwe wala mgogoro wowote juu ya kuuzwa hii nyumba.
Unasema eti sababu ya kuiuza Hii nyumba eti haiingii akilini. Ndugu yangu, wewe ulitaka niwadanganye watu hapa kwa kuweka sababu ya uongo???.
Unasema eti bei ni ndogo sana. Ndugu yangu hii bei haipungui hata senti. Yaani hapo usitegemee kwamba itapungua.
Hakuna aliefanya hivi,sasa kama unajipa moyo jaribu na wewe uone.Ni ujinga kuamini ukiwa na nyumba maisha ni mepesi...hivi hujui kuna watu waliuza nyumba wakapata mitaji,wakafanya biashara,wakafanikiwa kujenga magorofa ???
Nime scroll mara 5 kwenda juu na chini. ... nimeongeza mwanga 10x kumsaka huyo bibi aliyekaa kinyonge. ......nimetoka kapa
Picha ni hii hapa[emoji116]Nkajua ni mm mwenyewe cjamuona,kumbe tupo wengi[emoji1] [emoji1]
Wakuu habari zenu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna nyumba inauzwa hapa Kinondoni. Hii ni nyumba ya ndugu yangu. Sababu ya kuiuza ni Kuna mambo yake anahitaji kuyaweka sawa ambayo ikienda kama alivyopanga atapiga hatua kubwa mno kimaisha.
Hahaha ametia mgomo,wamuuze na yeyePicha ni hii hapa[emoji116]![]()
Nimefanya kuizoom na hivi ndivyo inaonekana kwa ukaribu Bibi kashika tama[emoji116]![]()
-Nyerere-
Nime scroll mara 5 kwenda juu na chini. ... nimeongeza mwanga 10x kumsaka huyo bibi aliyekaa kinyonge. ......nimetoka kapa
Shukran mkuu nimemuona BibiPicha ni hii hapa[emoji116]![]()
Nimefanya kuizoom na hivi ndivyo inaonekana kwa ukaribu Bibi kashika tama[emoji116]![]()
-Nyerere-
Mbona iyo namba uliyoitoa haipatikani??sawa mkuu
Mkuu namba uliyoiweka haipatikanisiku hizi jf ina watoto wengi sana. Mnaleta masihara kwani hii thread haina masihara. Inasikitisha sana.
Ndio mkuuNamba yake haipatikani...
OVA
Wakuu habari zenu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna nyumba inauzwa hapa Kinondoni. Hii ni nyumba ya ndugu yangu. Sababu ya kuiuza ni Kuna mambo yake anahitaji kuyaweka sawa ambayo ikienda kama alivyopanga atapiga hatua kubwa mno kimaisha.
Nyumba ina vyumba vitatu. Kimoja ni master room.
Seatting room
Dinning room
Jiko
Store
Baraza
Choo cha nje kipo
Hiyo ni nyumba kubwa. Kwa nje ina nyumba nyingine ambayo ni chumba na sebule.
Parking ya gari hata nne IPO
Nyumba yote hii ipo ndani ya fensi ya ukuta na ina geti kubwa.
Nyumba ipo Dar es salaam, eneo la Kinondoni "B"
Bei = Milioni 82
Contact : 0712189565
au piga hii 0625535791
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()