essaugervas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 580
- 280
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Aiseee!!!!!kweli hamna budi kuiuza,dah!!!maana huyo bibi hapo.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Aiseee!!!!!kweli hamna budi kuiuza,dah!!!maana huyo bibi hapo.....
Yaani Watanzania kweli akili zetu zimeganda...
MTU anauza nyumba wewe unaanza kusema bei ndogo wakati inawezekana mtu huna uwezo wa kununua pengine hauna hata milioni 5..
Je akija mtu anauza nyumba milioni 400 ndo mtanunua????
Acheni hizo habari za kukatisha tamaa wenzenu.
Na kama hauna cha kuchangia ni bora ukapita kimya kimya tu.
Lazima watu wa doubt tu kwa Dar es salaam matapeli wengi huuza vtu cheap ili upapate wakulize tena huchonga had hati fake za nyumba na kiwanja, (though sijamaanisha mleta mada) yani kwahyo hela kwa Dar tena kinondoni mhhhh.Yaani Watanzania kweli akili zetu zimeganda...
MTU anauza nyumba wewe unaanza kusema bei ndogo wakati inawezekana mtu huna uwezo wa kununua pengine hauna hata milioni 5..
Je akija mtu anauza nyumba milioni 400 ndo mtanunua????
Acheni hizo habari za kukatisha tamaa wenzenu.
Na kama hauna cha kuchangia ni bora ukapita kimya kimya tu.
Huyu mleta tangazo namba aliyoweka haipatikani..... Ndio wale wale tuLazima watu wa doubt tu kwa Dar es salaam matapeli wengi huuza vtu cheap ili upapate wakulize tena huchonga had hati fake za nyumba na kiwanja, (though sijamaanisha mleta mada) yani kwahyo hela kwa Dar tena kinondoni mhhhh.
Mnunuzi awe makini aende had manispaa kuulizia hyo hati ya kiwanja na nyumba
Kwa Dar kuna matapeli sana kiukweli na bei waitajayo huwa si halisi huyo inabidi akamatishwe tena ukute wana mset had huyo bibi. Hapa mjini wengi wamelizwaHuyu mleta tangazo namba aliyoweka haipatikani..... Ndio wale wale tu
Yaani kaziiii kweli kwelKwa Dar kuna matapeli sana kiukweli na bei waitajayo huwa si halisi huyo inabidi akamatishwe tena ukute wana mset had huyo bibi. Hapa mjini wengi wamelizwa
Lazima watu wa doubt tu kwa Dar es salaam matapeli wengi huuza vtu cheap ili upapate wakulize tena huchonga had hati fake za nyumba na kiwanja, (though sijamaanisha mleta mada) yani kwahyo hela kwa Dar tena kinondoni mhhhh.
Mnunuzi awe makini aende had manispaa kuulizia hyo hati ya kiwanja na nyumba
Nimecheka kweli daaah kuna watu mna macho ya ajabu sanaAisee picha zoote hakuna kimechonitia uchungu kama hiyo picha ya Bibi hapo
Yaani anaonekana Mnyongeee
Hii ni kuonyesha kwamba hajaridhika nyumba kuuzwa na kuonekana kwamba kuna jambo hapo.Maana wazee wengi wa age hiyo huwa hawaamini kabisa kwamba mafanikio ya mtu yanatokana na kuuza Nyumba.Na ndio maana wazee wetu wote wenye akili walikubali kulala njaa lakini waliuza vyoote ila sio Nyumba,ambazo mpaka leo zipo hata kama Mbovu.
Mleta post kuwa makini sana juu ya kuingilia swala hili kama huna data za kutosha.Bei ni ndogo sana,na inazua mashaka kwamba kuna jambo.Sababu ya kuuza hai make sense
Nina wasiwasi kama wewe ni muuzaji kweli wa hii nyumba,Mkuu uko sawa bei na nyumba ni vitu viwili tofau
Nahitaji hiyo Nyumba na niesha save No yako Yusuph. Nielekeze tu ilipo asubuhi tukutanesiku hizi jf ina watoto wengi sana. Mnaleta masihara kwani hii thread haina masihara. Inasikitisha sana.