House4Sale ( PICHA ) Nyumba inauzwa Kinondoni "B"

Mkuu kama wanaona bei ni ndogo wakupe bei ya hiyo nyumba halafu waiuze wao,na hela zilizozidi zote wakupe,kama kweli ni waungwana kiasi hicho!
 
Watoto walioanza shule mwaka 2000 wengi sana JF. Kaka ktk hii thread watu wazima utaweza kuwatambua ktk post kadhaa. JF ilikua zamani. Nenda ZoomTZ huku watoto wanataka matangazo ya bracelet, smartphones na nguo zao blouse za kiume za ki-david cameroun.
 
Ni ujinga kuamini ukiwa na nyumba maisha ni mepesi...hivi hujui kuna watu waliuza nyumba wakapata mitaji,wakafanya biashara,wakafanikiwa kujenga magorofa ???
Hakuna aliefanya hivi,sasa kama unajipa moyo jaribu na wewe uone.
Usifananishi enzi zile za Kima watu na zama za sasa.
Ingekuwa ni rahisi angeanza kwanza kwa kuichukulia Mkopo akajipima kwanza.
 
Nime scroll mara 5 kwenda juu na chini. ... nimeongeza mwanga 10x kumsaka huyo bibi aliyekaa kinyonge. ......nimetoka kapa

Nkajua ni mm mwenyewe cjamuona,kumbe tupo wengi[emoji1] [emoji1]
Picha ni hii hapa[emoji116]
Nimefanya kuizoom na hivi ndivyo inaonekana kwa ukaribu Bibi kashika tama[emoji116]

-Nyerere-
 
Wakuu habari zenu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna nyumba inauzwa hapa Kinondoni. Hii ni nyumba ya ndugu yangu. Sababu ya kuiuza ni Kuna mambo yake anahitaji kuyaweka sawa ambayo ikienda kama alivyopanga atapiga hatua kubwa mno kimaisha.

Haya weeeeeeeeeee
 
Picha ni hii hapa[emoji116]
Nimefanya kuizoom na hivi ndivyo inaonekana kwa ukaribu Bibi kashika tama[emoji116]

-Nyerere-
Hahaha ametia mgomo,wamuuze na yeye
Si unajua tena kuka kwa wajukuu ni Mtihani,maana ukimuangalia ni kama vile wa Kusini vile.
Jamaa anauza nyumba eti atokea kimaisha,aiseee,akili hana huyu
Nyumba?
 
Ntumie picha whatsApp 0689315582 za hiyo nyumba mi siioni humu
 
Hiyo bei mbona ndogo sasa kwa kinondoni wakuu, au nyie mnaonaje?
 
Mkuu simu kama ina matatizo weka namba ambayo ipo on muda wa kazi si unajua biashara kama hiyo watu ni kushindana kidau cha hela,weka haraka mawasiliano hewani please.
 
Aiseee!!!!!kweli hamna budi kuiuza,dah!!!maana huyo bibi hapo.....
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…