House4Sale ( PICHA ) Nyumba inauzwa Kinondoni "B"

Yaani Watanzania kweli akili zetu zimeganda...

MTU anauza nyumba wewe unaanza kusema bei ndogo wakati inawezekana mtu huna uwezo wa kununua pengine hauna hata milioni 5..

Je akija mtu anauza nyumba milioni 400 ndo mtanunua????

Acheni hizo habari za kukatisha tamaa wenzenu.

Na kama hauna cha kuchangia ni bora ukapita kimya kimya tu.
 

Humu JF kuna watu wa kila aina sometimes ignore
 
Lazima watu wa doubt tu kwa Dar es salaam matapeli wengi huuza vtu cheap ili upapate wakulize tena huchonga had hati fake za nyumba na kiwanja, (though sijamaanisha mleta mada) yani kwahyo hela kwa Dar tena kinondoni mhhhh.
Mnunuzi awe makini aende had manispaa kuulizia hyo hati ya kiwanja na nyumba
 
Huyu mleta tangazo namba aliyoweka haipatikani..... Ndio wale wale tu
 
Huyu mleta tangazo namba aliyoweka haipatikani..... Ndio wale wale tu
Kwa Dar kuna matapeli sana kiukweli na bei waitajayo huwa si halisi huyo inabidi akamatishwe tena ukute wana mset had huyo bibi. Hapa mjini wengi wamelizwa
 
Huwezi ku doubt kwa kupitia jf...ni Bora mtu ufike eneo la tukio ndiyo utajuaa zaidi

OVA
 
Nimecheka kweli daaah kuna watu mna macho ya ajabu sana
 
Mkuu uko sawa bei na nyumba ni vitu viwili tofau
Nina wasiwasi kama wewe ni muuzaji kweli wa hii nyumba,
1. Bei, 82m Nyumba+Kiwanja Kinondoni B??
2. Mbona unajibu kwa jazba? Kipi cha ajabu ambacho kinakufanya u-panic?
3. Weka details zaidi ilipo nyumba tukafanye search manispaa/wizarani kujiridhisha kabla hatujafanya maamuzi ya kununua.
 
siku hizi jf ina watoto wengi sana. Mnaleta masihara kwani hii thread haina masihara. Inasikitisha sana.
Nahitaji hiyo Nyumba na niesha save No yako Yusuph. Nielekeze tu ilipo asubuhi tukutane
 
Je, usiku unapolala mapaka yanakuja na kupiga kelele chini ya dirisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…