mzazi nae alikua/ni mcumba/mpenzi wa mtu......heshima yake kama mzazi na kumjali iko pale lakini hii ya sasa ni FAMILIA YANGU MIMI....YAANI MIMI MWENYEWE!!!Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
hata wewe hapo maisha yako ya social media ni tofauti na real life..!Leo ndo nimeamini Zari sio boss lady wala nini,kumbe anaishi kutegemea mwanaume,yaani unajua kabisa mwanaume anaingiza wanawake kwenye bedroom yenu na anawalala kwenye kitanda anachokulala wewe ,ila umo tu,hahahahahah maboss lady wa ukweli angeondoka on spot,ila kwa vile anamtegemea diamond financially ndo hivyo anaishia kuwafokea michepuko tu ,kumbe hata nyumba South alikuwa hana,maisha ya social media ni tofauti kabisa na maisha real
Don Ivan bin Ssemwanga[emoji16] [emoji16] [emoji16]Amembembeleza nani kwani?
Bigonzo mi niko real asee...[emoji109]hata wewe hapo maisha yako ya social media ni tofauti na real life..!
I can't buy this , it's cheap [emoji4]Don Ivan bin Ssemwanga[emoji16] [emoji16] [emoji16]
yaan diamond wetu sijui hajazizoea bado!!! acha akabisa teh tehNaona diamond wenu kapata pesa kawa kichaa sasa. Awe anafikiria kabla ya kupost. Ona sasa salome wake anavoomba misamaha ya kufa mtu. Na mimi naomba ivan awe gentleman hivo hivo akae kimya asijibu chochote wala.asimjibu huyo nasibu.
Hahaha weka kwanza picha ya nyumba unayoishi na gari unayotembelea tuone kama inaendana na mashauzi yako huku JF..!Bigonzo mi niko real asee...[emoji109]
No way dear..you have to, consume it with pepsii baridiiii[emoji484] [emoji484]I can't buy this , it's cheap [emoji4]
ona sasa umeshapanic,N
ndio wewe si msukule wa lowasa?
Bahati mbaya sana sina mashauzi in real life or social media...Hahaha weka kwanza picha ya nyumba unayoishi na gari unayotembelea tuone kama inaendana na mashauzi yako huku JF..!
kama ni hivyo hongera sanaBahati mbaya sana sina mashauzi in real life or social media...
Mbwembwe zote zile za ubosslady kumbe hata chumba kimoja Kwa Zulu natal hawana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bahati mbaya sana sina mashauzi in real life or social media...
Shost mi hadi nataka kuzirai si kwa mshangao huu[emoji15] [emoji15] [emoji23] ...Bosslady my foot, Ivan kamuumbua, sorry sorry kibao kwa Ivan?!?!...akitimuliwa anaenda kwenye nyumba ya kupanga sijui moleta park, ushenzini tu ka tandale kwa domo!Mbwembwe zote zile za ubosslady kumbe hata chumba kimoja Kwa Zulu natal hawana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nacheka kwa dharau!
Asante mondi kutufumbua macho!
Zari kumbe ndo maana kakomaa na Dai na kabeba mimba fastaaa
Kumbe anasecure future!!
Hatareee!!
kumbe ni mchunaji tu ndo maana hatoki kwa chibu na uzee wote ule aende wapi?Mbwembwe zote zile za ubosslady kumbe hata chumba kimoja Kwa Zulu natal hawana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nacheka kwa dharau!
Asante mondi kutufumbua macho!
Zari kumbe ndo maana kakomaa na Dai na kabeba mimba fastaaa
Kumbe anasecure future!!
Hatareee!!
ameshatimuliwa analialia ,Shost mi hadi nataka kuzirai si kwa mshangao huu[emoji15] [emoji15] [emoji23] ...Bosslady my foot, Ivan kamuumbua, sorry sorry kibao kwa Ivan?!?!...akitimuliwa anaenda kwenye nyumba ya kupanga sijui moleta park, ushenzini tu ka tandale kwa domo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shost mi hadi nataka kuzirai si kwa mshangao huu[emoji15] [emoji15] [emoji23] ...Bosslady my foot, Ivan kamuumbua, sorry sorry kibao kwa Ivan?!?!...akitimuliwa anaenda kwenye nyumba ya kupanga sijui moleta park, ushenzini tu ka tandale kwa domo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeh!ndo maana huddah kamuita broke cougarkumbe ni mchunaji tu ndo maana hatoki kwa chibu na uzee wote ule aende wapi?
nilikuwa najiuliza kwanini kamuacha mume tajiri kumbe bwana hana hata korido yule ahahaa kweli maisha ya mitandaoni tofauti.unaweza kukukufuru mungu ukiangalia watu
Mwenzangu???...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa tofauti kati yake na wema ni IPI?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Show off nyingiii....
Hata diamond atacheza kwa akili!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli Karma ipo!!!Mwenzangu???...
Fake house
Fake bosslady
Fake age
Fake business
Fake lips
Karma comes back...mxiuuuuuuu