Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Heheheh ivan kazisambaza hizi sms ,,watoto wamegoma kuishi kwenye nyumba wamesema hawawezi ishi kwenye nyumba ambayo mwenye nyumba anamuabuse baba yao,sms simesambaa nazirusha mtandao unamsumbua
 
Mbona ww wanaokuchukia hawakujui lakin wanakuchukia tu
 
Yaani mi mwenyewe nashangaa!Hebu sema wewe ndugu yangu labda utaeleweka,maana mi hata sielewi hii chuki inatokea wapi,nabaki najishangaa labda mi ndo pengine nina matatizo ndo maana sielewi,lakini kila nikifikiria naona wanadamu ni watu wenye husda sana.

Maisha siyo yao,Diamond siyo ndugu yao,lakini wanataka kuwaingilia na maisha yao,daah! wabongo bwana! baadhi yao wana roho mbaya sana kama wachawi vile,waacheni na maisha yao.
 

Eti Diamond anatoka na Zari halafu wengine wanachukia.

What kinda sense does that make?

Am I missing something here?

If I am, then what is it?
 
Wema anauza K na anajitunza na hana confrontation yoyote na mtu, she's free...sasa hilo limama linajishaua kumbe liko under probation na mahawara zake...ndo yaliyomkuta sorry sorry kibao na kutimuliwa![emoji16] [emoji16]
Ubuyu leo umenipita....

Ngoja niende insta nitarudi
 
Hongera zake kwa kununua nyumba. Ingawa za nyumba sio ghaaali compared to bongo.
Ila hongers sana sana sana

Ni vijana wachache wenye maono kama haya

Ngoja nirudi kwa bibi tukinao sasa
 
Eti Diamond anatoka na Zari halafu wengine wanachukia.

What kinda sense does that make?

Am I missing something here?

If I am, then what is it?

Hapo sasa,wala huja miss chochote ndivyo wabongo walivyo,Nisaidie wewe ndugu yangu kushangaa, ndio uone ndugu zako wabongo wanavyopenda kushupalia vitu visivyokuwa na kichwa wala miguu,yaani hata sielewi mtu baki uumie kichwa kisa Zari anatoka na Diamond, mi hata sielewi kwa kweli,pilipili usioila wao sijui inawawashia nini,Nawapa pole zao kwa kuumizwa na mapenzi ya wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…