BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
NimeonaaaaaaaaUmeona sms za zari na ivan zimesambaa,ivan kazimbaza
kwani hiyo nyumba ni ya watoto wa zari? Hiyo ni ya diamond wakigoma ndio vizur mwenye nyumba ajiachie kwa raha zakeHeheheh ivan kazisambaza hizi sms ,,watoto wamegoma kuishi kwenye nyumba wamesema hawawezi ishi kwenye nyumba ambayo mwenye nyumba anamuabuse baba yao,sms simesambaa nazirusha mtandao unamsumbua
Hahahahaaa.....tuonyeshe ww kwanza anayoishi dingi ako afu na unayoishi wewe, usiishi kwa kukaririHalafu watu wanasifia humu atupie pch ya nyumba anayoishi baba yake au ndokalumanzila wale wadunia wamemwambia ampotezee mdingi ili mambo yaendelee kuwa mswano
common sense ni kitu cha bure bin bure,wewe unaamini kabisa mtoto wa kiafrika anaweza kumgeuka mama yake????? haya mambo mengine hata hayaitaji shuleHeheheh ivan kazisambaza hizi sms ,,watoto wamegoma kuishi kwenye nyumba wamesema hawawezi ishi kwenye nyumba ambayo mwenye nyumba anamuabuse baba yao,sms simesambaa nazirusha mtandao unamsumbua
Kwa sababu alikua anamponda Wema,dharau,kejeli nkHahaaaaa duuh!
Huwa mnafurahisha kweli wakati mwingine.
Kwa hiyo wewe uko upset kwa sababu yeye [Zari] anatoka na Diamond [ambaye umesema ni mpenzi wa Wema]?
Mbona kama sielewi elewi vile....😀.
Clearly these things are way up above my pay grade!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]nimerudi looh!ukiendekeza umbea !!
hulii
[emoji23] [emoji23] Asante wee!!nshamaliza tuendeleze libeneke![emoji3] [emoji3] [emoji3]
Pole.
Usiche na sukari guru dadaHivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Eti tukinao ndo nini? Naonaga insta watu wanasema. Btw, hivi zari ubibi wake nini?Hongera zake kwa kununua nyumba. Ingawa za nyumba sio ghaaali compared to bongo.
Ila hongers sana sana sana
Ni vijana wachache wenye maono kama haya
Ngoja nirudi kwa bibi tukinao sasa
Hana ubibi... sema watu wakiamua kukunanga tuEti tukinao ndo nini? Naonaga insta watu wanasema. Btw, hivi zari ubibi wake nini?
Hlf warumi km sijasahau ulikua team wema damu wewe na zari ulikua humpend kulikoni ndg yangu kubadili upepoAaah hapana chezeyaaa, akina hamisa wataambulia uvideo queen mamaeeeee, ndomo nimempenda bureee, team mavi wameumbukaje na Salome wao [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kimama kina matusi htr..kilivyokauka kile lzm kichawiIla diamond na familia yake anaijali jamani,sasa amjengee na mama yake marekani eti,