Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Umeona sms za zari na ivan zimesambaa,ivan kazimbaza
Nimeonaaaaaaaa

Mjini msingi uzazi

Halafu nimrona vacay zanzibar

Mie nilijua ingrkuwa Mauritius, Paris

Hebu ngoja nikae chini kwanza si kwa kupitwa huku........
 
Heheheh ivan kazisambaza hizi sms ,,watoto wamegoma kuishi kwenye nyumba wamesema hawawezi ishi kwenye nyumba ambayo mwenye nyumba anamuabuse baba yao,sms simesambaa nazirusha mtandao unamsumbua
kwani hiyo nyumba ni ya watoto wa zari? Hiyo ni ya diamond wakigoma ndio vizur mwenye nyumba ajiachie kwa raha zake
 
Halafu watu wanasifia humu atupie pch ya nyumba anayoishi baba yake au ndokalumanzila wale wadunia wamemwambia ampotezee mdingi ili mambo yaendelee kuwa mswano
Hahahahaaa.....tuonyeshe ww kwanza anayoishi dingi ako afu na unayoishi wewe, usiishi kwa kukariri

Kula limao upunguze jazba[emoji13]
 
Heheheh ivan kazisambaza hizi sms ,,watoto wamegoma kuishi kwenye nyumba wamesema hawawezi ishi kwenye nyumba ambayo mwenye nyumba anamuabuse baba yao,sms simesambaa nazirusha mtandao unamsumbua
common sense ni kitu cha bure bin bure,wewe unaamini kabisa mtoto wa kiafrika anaweza kumgeuka mama yake????? haya mambo mengine hata hayaitaji shule
 
Hahaaaaa duuh!

Huwa mnafurahisha kweli wakati mwingine.

Kwa hiyo wewe uko upset kwa sababu yeye [Zari] anatoka na Diamond [ambaye umesema ni mpenzi wa Wema]?

Mbona kama sielewi elewi vile....😀.

Clearly these things are way up above my pay grade!
Kwa sababu alikua anamponda Wema,dharau,kejeli nk

Drama nyingii!!!!kujifanya mjuaji kumbe hana lolote!Kl

Kapuku tu km Mimi!

Bora hata mie najituma mwenyewe!
 
Hongera zake kwa kununua nyumba. Ingawa za nyumba sio ghaaali compared to bongo.
Ila hongers sana sana sana

Ni vijana wachache wenye maono kama haya

Ngoja nirudi kwa bibi tukinao sasa
Eti tukinao ndo nini? Naonaga insta watu wanasema. Btw, hivi zari ubibi wake nini?
 
Yaani wabongo tuna chuki za kijinga jinga mara anadharau, anajisikia, nyodo nyumba yenyewe bei raisi (wakati yeye mwenyewe analala kwa shemeji, hata bei ya tofali haijui), wakati mtu mwenyewe hakujui. Alafu huko insta siku hizi kumekuwa ni uwanja wa maengineer wa maneno, wanafanya kuanzia design, drawing mpaka implementation, sasa hawa watu ukiwakuta wanavyolalamika maisha magumu, hawajui upuuzi wanaoundekeza unawapotezea timing za kufanikiwa ktk maisha yao, shauli zenu. Mwacheni diamond platnumz na maisha yake, ww unaendelea kuwa shabiki wa mziki wake na si kumpangia aishi vip.
 
1474648359232.jpg
 
Yule Msanii wa Arusha wacha auze tu vyombo vyake... miaka kibao hajapata mafanikio anauza kinanda na gitaa la solo
 
Aaah hapana chezeyaaa, akina hamisa wataambulia uvideo queen mamaeeeee, ndomo nimempenda bureee, team mavi wameumbukaje na Salome wao [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hlf warumi km sijasahau ulikua team wema damu wewe na zari ulikua humpend kulikoni ndg yangu kubadili upepo
 
Back
Top Bottom