Ile asali anapewa na mamake???? Hebu acha weweeeeHivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Mmmmmmhhhhh hamkosagi cha kusema....kanunue basi na wewe km rahisiBei ya nyumba Afrika Kusini ni ndogo kuliko Tanzania. Nyumba nzuri ambazo zinauzwa ziko nyingi sana kuliko Tanzania
Endelea kujipa moyo.Maigizo ya wasanii wetu
Chibu ni jina la utoto la Naseeb ama Diamond platinumz jina la kisanii.Jaman hivi chibu ndio nani??nasikiaga tu...mi mgeni mjini..
Hahhaahhaahah mapenzi yana run dunia mwee tena usilogwe mwanao akawa zuzu Wa mapenzi utakufa cku Si zako duh inauma,ndo mana mama mondi anapambana na zari anajua mapenzi ya mwana yamehamia kwa make nowHivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Yaani wabongo tuna chuki za kijinga jinga mara anadharau, anajisikia, nyodo nyumba yenyewe bei raisi (wakati yeye mwenyewe analala kwa shemeji, hata bei ya tofali haijui), wakati mtu mwenyewe hakujui. Alafu huko insta siku hizi kumekuwa ni uwanja wa maengineer wa maneno, wanafanya kuanzia design, drawing mpaka implementation, sasa hawa watu ukiwakuta wanavyolalamika maisha magumu, hawajui upuuzi wanaoundekeza unawapotezea timing za kufanikiwa ktk maisha yao, shauli zenu. Mwacheni diamond platnumz na maisha yake, ww unaendelea kuwa shabiki wa mziki wake na si kumpangia aishi vip.
Mmmmmmhhhhh hamkosagi cha kusema....kanunue basi na wewe km rahisi
Nyani Ngabu, siku ukija kumwelewa mpwa wangu geniveros hapo na mimi naomba unieleweshe manake na mimi wala sielewi yaani!!Hahaaaaa duuh!
Huwa mnafurahisha kweli wakati mwingine.
Kwa hiyo wewe uko upset kwa sababu yeye [Zari] anatoka na Diamond [ambaye umesema ni mpenzi wa Wema]?
Mbona kama sielewi elewi vile....😀.
Clearly these things are way up above my pay grade!
Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Aaah hapana chezeyaaa, akina hamisa wataambulia uvideo queen mamaeeeee, ndomo nimempenda bureee, team mavi wameumbukaje na Salome wao [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]