Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
upumbavu tu alafu watu wanasifia humu atupie pch ya nyumba anayoishi baba yake au ndokalumanzila wale wadunia wamemwambia ampotezee mdingi ili mambo yaendelee kuwa mswano
Conclusion yako sio sahihi hata kidogo manake umeacha kuzingatia vigezo vingi! Kwa mfano, there's no way nyumba yenye sifa zile zile; iliyopo Masaki Dar es salaam itakuwa very expensive kuliko iliyopo Westcliff, Johannesburg; sio kweli!!
So!?Nyumba kama hiyo kwa Tanzania itakuwa Masaki Milocheni na Mbezi Beach. Bel ya kiwanja peke yake hapo Masaki ni dola milioni moja. Kwa South AAfrika nyumba kama hiyo haiwezi kuwa sehemu zilizo exclusive. Itakuwa sehemu za kawaida kabisa kwani miji imepangwa vizuri.
Jiandae tu twende na tutapokelewa na. Nasikia Kuna wine party kwenye Hilo jumba na Si Unajua sisi Ni watu muhimu kwa ndomo mitandaoniJaman zari nikumbuke warumi na Mimi angalau nije kuuza sura south africa kwenye nyumba yetu mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujanja wake nini?Hongera kwao, Ila zari ni mjanja sana
Mama yeye si alishapewa na babaHivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
It becomes less expensive to build a house of your tasteSo!?
Sehemu anazojiweka ana uhakika na maishaUjanja wake nini?
Kama kanunua hiyo ilikuwaje asijenge Madale kama hiyo?
Nyumba kama hiyo kwa Dar itakuwa Masaki au Mikocheni kwavile ina Swimming Pool, au?! Ndio maana nikakuambia hujazingatia mambo ya msingi! Aidha na ndio maana nikakupa mfano wa Masaki na Westcliff kv ni maeneo yanayowiana kwa hadhi! Na ndio maana pia nikahoji unataka kuniambia nyumba yenye sifa zile zile (achana na hiyo ya Chibu); ya Masaki itakuwa ni expensive kuliko ya Westcliff?!Nyumba kama hiyo kwa Tanzania itakuwa Masaki Milocheni na Mbezi Beach. Bel ya kiwanja peke yake hapo Masaki ni kinafika mpaka dola milioni moja. Kwa South AAfrika nyumba kama hiyo haiwezi kuwa sehemu zilizo exclusive. Itakuwa sehemu za kawaida kabisa kwani miji imepangwa vizuri.
Acha kutudanganya,kawadanganye huko Nanjilinji...bainiaha hilo kwa kutoa data ili tukujibu kwa data pia!!
Nyumba kama hiyo kwa Dar itakuwa Masaki au Mikocheni kwavile ina Swimming Pool, au?! Ndio maana nikakuambia hujazingatia mambo ya msingi! Aidha na ndio maana nikakupa mfano wa Masaki na Westcliff kv ni maeneo yanayowiana kwa hadhi! Na ndio maana pia nikahoji unataka kuniambia nyumba yenye sifa zile zile (achana na hiyo ya Chibu); ya Masaki itakuwa ni expensive kuliko ya Westcliff?!
Wazazi wamekulea kwa muda ila mke ni wa maisha nimtu anaekufahamu vizuri zaidi kuliko.mzani na inapendeza ukipata mwanamke anaejitambua.Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
[emoji109]Ni shiida ndio maana zari anajiaminiii khaa
Mi huwa napenda kila msanii afanikiwe , ilitakiwa wasanii wengi wa bongo wawe wana nyumba zao, domo ni kujituma kwake tuu kunamfanya apate hivo vitu.
Inatakiwa pia wasanii wengine wajifunze pamoja na sheria zetu za sanaa kuwa mbovu, mtu uki hustle inalipa, sasa mtu ana pata hela anaishia kula ngada tuu, na madem yaani hapo unakuta ka hit wimbo mmoja tuu.