Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Conclusion yako sio sahihi hata kidogo manake umeacha kuzingatia vigezo vingi! Kwa mfano, there's no way nyumba yenye sifa zile zile; iliyopo Masaki Dar es salaam itakuwa very expensive kuliko iliyopo Westcliff, Johannesburg; sio kweli!!

Nyumba kama hiyo kwa Tanzania itakuwa Masaki Milocheni na Mbezi Beach. Bel ya kiwanja peke yake hapo Masaki ni kinafika mpaka dola milioni moja. Kwa South AAfrika nyumba kama hiyo haiwezi kuwa sehemu zilizo exclusive. Itakuwa sehemu za kawaida kabisa kwani miji imepangwa vizuri.
 
Nyumba kama hiyo kwa Tanzania itakuwa Masaki Milocheni na Mbezi Beach. Bel ya kiwanja peke yake hapo Masaki ni dola milioni moja. Kwa South AAfrika nyumba kama hiyo haiwezi kuwa sehemu zilizo exclusive. Itakuwa sehemu za kawaida kabisa kwani miji imepangwa vizuri.
So!?
 
Jaman zari nikumbuke warumi na Mimi angalau nije kuuza sura south africa kwenye nyumba yetu mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae tu twende na tutapokelewa na. Nasikia Kuna wine party kwenye Hilo jumba na Si Unajua sisi Ni watu muhimu kwa ndomo mitandaoni
 
Kama kanunua hiyo ilikuwaje asijenge Madale kama hiyo?

7 out of 10 ya wasanii wanasemaga nyumba walizopanga ni zao (wamezinunua)!

Hat hivyo Zari akienda South utakuta anaishi kwa mume wake mwingine.
 
Nyumba kama hiyo kwa Tanzania itakuwa Masaki Milocheni na Mbezi Beach. Bel ya kiwanja peke yake hapo Masaki ni kinafika mpaka dola milioni moja. Kwa South AAfrika nyumba kama hiyo haiwezi kuwa sehemu zilizo exclusive. Itakuwa sehemu za kawaida kabisa kwani miji imepangwa vizuri.
Nyumba kama hiyo kwa Dar itakuwa Masaki au Mikocheni kwavile ina Swimming Pool, au?! Ndio maana nikakuambia hujazingatia mambo ya msingi! Aidha na ndio maana nikakupa mfano wa Masaki na Westcliff kv ni maeneo yanayowiana kwa hadhi! Na ndio maana pia nikahoji unataka kuniambia nyumba yenye sifa zile zile (achana na hiyo ya Chibu); ya Masaki itakuwa ni expensive kuliko ya Westcliff?!
 
Acha kutudanganya,kawadanganye huko Nanjilinji...bainiaha hilo kwa kutoa data ili tukujibu kwa data pia!!

Bahati mbaya hakuna aliyeleta data yeyote hapa. Mara nyingi tunapojadili maswala ya nyumba ni vema kujua ipo sehemu gani ya mji gani
 
Nyumba kama hiyo kwa Dar itakuwa Masaki au Mikocheni kwavile ina Swimming Pool, au?! Ndio maana nikakuambia hujazingatia mambo ya msingi! Aidha na ndio maana nikakupa mfano wa Masaki na Westcliff kv ni maeneo yanayowiana kwa hadhi! Na ndio maana pia nikahoji unataka kuniambia nyumba yenye sifa zile zile (achana na hiyo ya Chibu); ya Masaki itakuwa ni expensive kuliko ya Westcliff?!

Nyumba ya leafy surburbs za South Africa ni aghali kuliko leaf surburbs za Tanzania. Lakini nyumba nyingi as sehemu za kawaida kabisa South Africa zinakuwa sawa na zile za Masaki na hata kuzipita.

Mjadala huu utakuwa Ile tija kama tukijua mji na sehemu aliukonunua hiyo nyumba.
0
 
Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Wazazi wamekulea kwa muda ila mke ni wa maisha nimtu anaekufahamu vizuri zaidi kuliko.mzani na inapendeza ukipata mwanamke anaejitambua.
 
Wapi mobeto,bi Sandra na esma,[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] mtapiga majungu miaka mia wenzenu wanazid kupendana tu..Mond kanikomeshea watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Mi huwa napenda kila msanii afanikiwe , ilitakiwa wasanii wengi wa bongo wawe wana nyumba zao, domo ni kujituma kwake tuu kunamfanya apate hivo vitu.

Inatakiwa pia wasanii wengine wajifunze pamoja na sheria zetu za sanaa kuwa mbovu, mtu uki hustle inalipa, sasa mtu ana pata hela anaishia kula ngada tuu, na madem yaani hapo unakuta ka hit wimbo mmoja tuu.

Unakuta hati ya nyumba ina jina la Zari
 
Back
Top Bottom