Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
upumbavu tu alafu watu wanasifia humu atupie pch ya nyumba anayoishi baba yake au ndokalumanzila wale wadunia wamemwambia ampotezee mdingi ili mambo yaendelee kuwa mswano
Akishakuonyesha na ya baba ake utasema akuonyeshe na mjomba ake na shangazi na baba wadogo wote.....hehehehhe wabongo bhana!!!