Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Mnhhh... Hii sasa ni hatariii...
 
Amsaidie baba yake baba ni baba tu hata uende wapi
 
Leo kimenuka huko instagram



Huu ndio Utajiri ambao Ivan, baba watoto wa Zari anajigamba nao kwenye mitandao:













Update:
Zari ameomba msamaha kwa mzazi mwenzie anadai Chibu kaandika huo ujumbe kwa Mange Kimambi. Watoto wa Zari wamekuja juu hawamtaki tena Diamond kwa kumuaibisha baba yao

 
Ndio maana wolper anakomaaa na harmonize...asijebebwa na Waganda...Wanawake wa bongo sio wife material wao kuchezewa tu na kuachwa..
 
Daaah ...wadada mkiona hizo shelf zenye.hela.mnachanganyikiwa eeeh??
Hivi seriously huyu jamaa anapiga ishu gani hadi kua na hela kias hicho
 
Jaman zari nikumbuke warumi na Mimi angalau nije kuuza sura south africa kwenye nyumba yetu mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka ukaache heleni huko Bondeni au ?
 
duuu.. kwa hiyo ivan kapanga south kweli hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…