Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia ukurusa wake wa instagram, mwanamuziki diamond platnums amepost mjengo wake mpya uliopo south Africa, huku akimpongeza mzazi mwenzie (mama tiffah) kwenye siku yake ya kuzaliwaView attachment 405255View attachment 405256
CHADEMA bwana...kwa hiyo wewe ni mzungu?uswahili ukizidi sana inakua ushamba
Amsaidie baba yake baba ni baba tu hata uende wapiHahaa! Unaona sasa... kumbe kwenye magazeti tena magazeti yenyewe mara zote ni ya Shigongo... hushangai ndugu why always Shigongo?! Siku chache zilizopita tu hapa niliweka video ya Mzee Abdul!! Moja ya swali ambalo aliulizwa ni habari gani kuhusu Diamond huwa zinamkera sana! Bila kumung'unya, alisema wazi kwamba hakuna habari zinazomkera kama uzushi unaosambazwa na watu kwamba Diamond hamsaidii wakati anamsaidia!!! Hata hivyo, ni kweli kwamba Diamond anampendelea sana mama ake kuliko babake... lakini ni wangapi wanafanya hili tena kwa baba zao ambao wamewalea, wamewasomesha na kuwajengea msingi wa maisha yao!
Ndio maana wolper anakomaaa na harmonize...asijebebwa na Waganda...Wanawake wa bongo sio wife material wao kuchezewa tu na kuachwa..Najiuliza kwa sauti ivi nyie wasichana warembo wa tz hamkuiona hii fursa kwa diamond mkamdharau mkacheka ule mdomo wee waganda wakaula denda wakaupetipet wakamzalie leo hii ndo wanapeta nae jamani mmeniangusha warembo wetu wa kibongo msirudie tena hebu kamatien fursa kwa kina raynavy sasa maana diamond kasha bebwa na idd amin afu we chibuu una bahati nyerere hayupo angekucharaza bakora uyo mganda alimsumbua sana[emoji23][emoji23]
Imeandikwa...,"utawaacha baba na mama yako...kuwa mwili mmoja".Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
WARUMI KIMENUKA IVAN KAJIBUWanaanza kukimbilia kwenye elimu mamaee, mwishoe mtauliza kama zari ni mwanamke au mwanaume, aaaah mtapagawa sana mwaka huu
Unataka ukaache heleni huko Bondeni au ?Jaman zari nikumbuke warumi na Mimi angalau nije kuuza sura south africa kwenye nyumba yetu mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona sindano zimekuingia barabara! Na kama utakuwa mtoto wa kiume basi nitashangaa sana lakini kama ni ule upande mwingine; yote sawa tu!Amsaidie baba yake baba ni baba tu hata uende wapi
Baba ni baba tu hata mtukane [emoji23][emoji23][emoji23]Pole na wivu wako wa kijinga huo!
Naona diamond wenu kapata pesa kawa kichaa sasa. Awe anafikiria kabla ya kupost. Ona sasa salome wake anavoomba misamaha ya kufa mtu. Na mimi naomba ivan awe gentleman hivo hivo akae kimya asijibu chochote wala.asimjibu huyo nasibu.View attachment 405522 duuu.. kwa hiyo ivan kapanga south kweli hahaha
Kwaio kaona kiki ya kupost hereni haijawa na nguvu sana, ya wema nayo wameona kawaida, sasa anaenda mbal zaid kwa ivan...hahahaha ...guess what salome wake she is begging ivan right now.View attachment 405522 duuu.. kwa hiyo ivan kapanga south kweli hahaha
Baba ni baba tu hata mtukane [emoji23][emoji23][emoji23]
Cheers too waheshimiwa!![emoji23][emoji23]