Cheers too waheshimiwa!![emoji23][emoji23]
kiki lakin ya vihereni imeishia wapi??.
Sasa mmemjeukia IVAN? Sory for him...hakuna mtoto ama watoto watakaokubali baba yao adhalilishwe ktk media hivi...nyumba hata kama ya kupanga si nyumba au??
Hao wazazi nao kwa nini hawawapi watoto wao hivyo vitu wanavyopewa na wake au wachumba zao?Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Acha ubishi. Ni kweli. Kama huamini google.Acha kutudanganya,kawadanganye huko Nanjilinji...bainisha hilo kwa kutoa data ili tukujibu kwa data pia!!
umeshawahi kuonana na mimi??CHADEMA bwana...kwa hiyo wewe ni mzungu?
Kwanza madale alijenga siku nyingi akiwa hana hela kama alizo nazo sasa; pia gharama ya kujenga nyumba kama hiyo madala ni kubwa kuliko ya kununua nyumba kama hiyo SA.Hili swali limedraw conclusion ya huu uzushi!
Binamu Warumi umeona hii kitu.View attachment 405522 duuu.. kwa hiyo ivan kapanga south kweli hahaha
Ndugu umeona eeeh.! siku si nyingi utaambiwa ameiuza tena..! ndo utajua kuwa wasanii wa bongo wana vipaji vingi..!Bongo watu wengi wana vipaji vingi, Domo kuna vitu karithi bongo movie, kuna chembe chembe fulani kachukua kutoka kwa Madame kikongwe trust me.
Hamna lolote kivipi?Hamna lolote
Kiki tuHamna lolote kivipi?