Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Wakina Lil Wayne, 50 Cent, Pdiddy wakionyesha majumba yao,magari na cheni wanazovaa shingoni mnawasifia. Msanii wetu akionesha 'tuvibanda' twake alitotupata kwa mbinde baada ya kuhustle sana mnatokwa mapovu, nini kinakuuma lakini we H BABA ?
Hiyo takataka HAKUNA MTU YEYOTE WA WCB ATAKAYEMJIBU,WAMESHAMJUA ANATAKA KUTOKEA KUPITIA KWAO.
 
Am me!! And who are you! ndo ukweli uliopo mmezidi uswahili,,mwanaume unaonesha alama hii kwenye comments zako [emoji108] ndio nini!!; halaf msaanii mkubwa unajiita, embu fanyeni kazi mlete tuzo nyumbani..

Sasa usichoelewa ni nini? Diamond hela anatafuta mwenyewe, nyumba kanunua kwa hela yake na anafanya ayatakayo yeye. Ameshakwambia yeye ni mswahili na uswahili ndio uliomfikisha hapo alipo. Sasa wewe kama hupendi pita kimya na usimfollow.
Diamond asha leta tuzo kibao nyumbani, wewe mwenzangu umeleta ngapi?
 
huyu diamond hamfikii hata msanii juager wa kenya kwa pesa jamaa ana 3 jets na makampuni kibao huyu mondi ni mtafta kick tu wala si mpga kazi

Duh we jamaa acha uongooooo! eti ana 3 jets??? Are you serious? Kwa taarifa yako unaeza kuta Diamond ana pesa kuliko Jaguar. Hivi wa Tanzania tumelogwa na nani?
 
Duh we jamaa acha uongooooo! eti ana 3 jets??? Are you serious? Kwa taarifa yako unaeza kuta Diamond ana pesa kuliko Jaguar. Hivi wa Tanzania tumelogwa na nani?
hata kanumba mlisema ana pesa ila alipokufa ndo ukweli ukajurikana hata nyumba hakuwa nayo
 
Sasa usichoelewa ni nini? Diamond hela anatafuta mwenyewe, nyumba kanunua kwa hela yake na anafanya ayatakayo yeye. Ameshakwambia yeye ni mswahili na uswahili ndio uliomfikisha hapo alipo. Sasa wewe kama hupendi pita kimya na usimfollow.
Diamond asha leta tuzo kibao nyumbani, wewe mwenzangu umeleta ngapi?
Mtu akifanya maendeleo sifa tunampa mana ndio uugwana.ukiona mtu hapendi maendeleo ya chibu jua maisha yamempiga balaaa kila mtu anataka kuishi maisha mazuri
 
Wakina Lil Wayne, 50 Cent, Pdiddy wakionyesha majumba yao,magari na cheni wanazovaa shingoni mnawasifia. Msanii wetu akionesha 'tuvibanda' twake alitotupata kwa mbinde baada ya kuhustle sana mnatokwa mapovu, nini kinakuuma lakini we H BABA ?
Ukiona mtu anamponda chibu jua maisha yke ya kuungaunga anatamani yeye ndio angekua na maisha hayo....kijana wa umri wke kununua nyumba 400m ni maajabu sifa lazma tumpe
 
1477593340791.jpg
 
Kwani lazima diamond awe kama alishushwa kibakuli msimfananishe mond na vitu vya ajabu msimpangie aishije we mleta uzi vp yako umejenga.[HASHTAG]#villa[/HASHTAG] de casa# inawatoa povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu ona hili sakata halafu msikilize na Diamond,
 
Bod
Nyumba ugenini tena ya gorofa aisee very expensive house in soth afrika nadhani iyo pesa ya hapo kwa bongo unaweza kujenga kama izo mbili kutokana na tofauti ya uchumi wetu na bondeni[/QUOTE
Bondeni nyumba ni cheaper kuliko Tz
 
Back
Top Bottom