samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Hiyo takataka HAKUNA MTU YEYOTE WA WCB ATAKAYEMJIBU,WAMESHAMJUA ANATAKA KUTOKEA KUPITIA KWAO.Wakina Lil Wayne, 50 Cent, Pdiddy wakionyesha majumba yao,magari na cheni wanazovaa shingoni mnawasifia. Msanii wetu akionesha 'tuvibanda' twake alitotupata kwa mbinde baada ya kuhustle sana mnatokwa mapovu, nini kinakuuma lakini we H BABA ?