qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
please my switie,honey,my antenna unaeniondolea chengachenga kwenye umbea wangu nifinye skio tafwazaliii...!my couzin my binamu my my my......nkija mwanza ntakuletea foleni ya dar!
Hahaaaaaaa binamu mweeh foleni ya dar... umenichekeshaje
Nataka savana mimiii banaaa
Itatubidi tufanye hivyo, Dina coca ya 1.5litres tupe umbeya basi
please my switie,honey,my antenna unaeniondolea chengachenga kwenye umbea wangu nifinye skio tafwazaliii...!my couzin my binamu my my my......nkija mwanza ntakuletea foleni ya dar!
sijambo za kuadmika kama macho ya jongoo!
Kapanda bei anataka savanna!! Haya mi nna bati sema we una shingi ngapi?
au tumpelekee mabomba ya mchina yasiyotoa maji...?etiiii eeeh!!!
qn of sheba nawe jisachi plzMiye nina buku jero
qn of sheba nawe jisachi plz
Dear acha tu nimeadimika kweli yaani... nimebanwaje!
Yaani huu ubuyu, halafu warumi katukimbia sijui kaenda kutafuta ubuyu wa mmarekani
hahaaaaa...vp kwani karudi na mbwa?yule wa bei ya verosa..?!!!!!
Ha ha ha ha ha nadhani kamuwahi madame asije kwenda tafuta hoteli ya mmarekani asilia, maana yule mmarekani asilia si nasikia anakuja leo au kesho? Yule wa think like a man too
hana lololte karudi kwa sababu ya kesho ajipendekeze kupata kolabo na aanze kujisifia km kachaguliwa bet ndo kilichomrudisha !
qn of sheba nawe jisachi plz