Picha: Penny avalishwa pete ya uchumba.

Picha: Penny avalishwa pete ya uchumba.

please my switie,honey,my antenna unaeniondolea chengachenga kwenye umbea wangu nifinye skio tafwazaliii...!my couzin my binamu my my my......nkija mwanza ntakuletea foleni ya dar!

Hahaaaaaaa binamu mweeh foleni ya dar... umenichekeshaje
 
please my switie,honey,my antenna unaeniondolea chengachenga kwenye umbea wangu nifinye skio tafwazaliii...!my couzin my binamu my my my......nkija mwanza ntakuletea foleni ya dar!

Hahahahaaaaaaaaa
 
hahaaaaa...vp kwani karudi na mbwa?yule wa bei ya verosa..?!!!!!

Ha ha ha ha ha nadhani kamuwahi madame asije kwenda tafuta hoteli ya mmarekani asilia, maana yule mmarekani asilia si nasikia anakuja leo au kesho? Yule wa think like a man too
 
hana lololte karudi kwa sababu ya kesho ajipendekeze kupata kolabo na aanze kujisifia km kachaguliwa bet ndo kilichomrudisha !
 
Ha ha ha ha ha eti apate kolabo, ila huyo Terrence si ni muigizaji? Au anakuja na akina nani? Anataka kujikombekeza maana huko alipotoka alikuwa haonani nao.
 
Back
Top Bottom