Picha: Penny avalishwa pete ya uchumba.

penny usije lazimisha kuolewa eti kumkomoa Dangote au kumuonyeshea uwiii Utajuta ! Ndoa ni kitu kingine Dogo ...Usikurupuke ......take it from me ...acha ije Automatic usiitolee jasho !
 
binamu team wema wameshajibu mapigo.
Nawao wameonyesha pete ya uchumba wema aliivaa airport

Kwa hasiraa angefunga ndoa hapo hapo airpot sasa ye anarudia kuvishwa petee nyooo zakee
 
jmn mbona hii Pete imekaa km ya kishirikina km zile wanazovaa mastaa wa bongo.kuna mwingine anaweka kidani cheusi,chekundu,cha blue km hicho.nackia zina maana hizo
 
Swaumu hiyoooo inasogea..yaani hata kunikaribisha hamna!
warumi njoo huku mi nataka umbea kabla sijabanwa

Binamu na wewe siku izi hatukuelewi, mara upo kwetu mara mtaa wa pili ndo maana ma ubuyu yanakupita
 
Last edited by a moderator:
Binamu na wewe siku izi hatukuelewi, mara upo kwetu mara mtaa wa pili ndo maana ma ubuyu yanakupita

Embu tuwekee ya ray c na chid benz.
Bibanu inabidi tukamuulize usipojipangantakupanga hiyo pete ni mpya au ya zamani.
Hivi ile ya zamani aliirudisha aliiuza au aliifanyaga nini??
Wana vituko hawa.
 
Embu tuwekee ya ray c na chid benz.
Bibanu inabidi tukamuulize usipojipangantakupanga hiyo pete ni mpya au ya zamani.
Hivi ile ya zamani aliirudisha aliiuza au aliifanyaga nini??
Wana vituko hawa.

heee....!wmefanya nini tena hawa wawili?
 
Embu tuwekee ya ray c na chid benz.
Bibanu inabidi tukamuulize usipojipangantakupanga hiyo pete ni mpya au ya zamani.
Hivi ile ya zamani aliirudisha aliiuza au aliifanyaga nini??
Wana vituko hawa.

Huyo husipojipanganitakupanga ni Wema Sepetu mwenyewee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…