TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
hahaaaaa...vp kwani karudi na mbwa?yule wa bei ya verosa..?!!!!!
Hahahaaa mna Mambo watu nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaa...vp kwani karudi na mbwa?yule wa bei ya verosa..?!!!!!
Me na buku mbili nikiongezea itakuwa sh. Ngapi tununue savana lol...
Nikikuwa nasubiria ubuyu kwa hamu kumbe bado warumi please
Ahahah ahhahah mimi mama ubaya ndo simuaminig, huyu penny hanaga sifa za kijinga
binamu team wema wameshajibu mapigo.
Nawao wameonyesha pete ya uchumba wema aliivaa airport
Kwa hasiraa angefunga ndoa hapo hapo airpot sasa ye anarudia kuvishwa petee nyooo zakee
binamu team wema wameshajibu mapigo.
Nawao wameonyesha pete ya uchumba wema aliivaa airport
heheee!ile ya mwanzo au nyingine?
Hawa watu wanavishwa pete chumbani nini? Bila wazazi wala ndugu
Binamu na wewe siku izi hatukuelewi, mara upo kwetu mara mtaa wa pili ndo maana ma ubuyu yanakupita
Binamu na wewe siku izi hatukuelewi, mara upo kwetu mara mtaa wa pili ndo maana ma ubuyu yanakupita
Embu tuwekee ya ray c na chid benz.
Bibanu inabidi tukamuulize usipojipangantakupanga hiyo pete ni mpya au ya zamani.
Hivi ile ya zamani aliirudisha aliiuza au aliifanyaga nini??
Wana vituko hawa.
Mmmmhhhhhhhhhhhh na akiivua pia atuhabarisheee