Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

Duh hii nchi hii Basi tu !

ningepewa urais hata mwaka mimi watu wangekimbia hii nchi

Ningeinyoosha Mara 1000 ya alivyowanyoosha Magufuli

kipaumbele changu kingekuwa mtanzania (raia wa kawaida)kwanza!!

Halafu ningeweka mifumo na kuandika katiba ya uwajibikaji na ningejiuzulu na kuacha mifumo ya kuweza kuendesha nchi miaka 10000 ijayo!!.
 
Wanaleta jam hapo hizo nafasi za kuwawekea viti wakakaa wangeongeza nguvu kazi nyingine hayo ya kujadili wangeyafanya kabla ya tukio au waje wafanye baadae ili hiki kinachojirudia kila leo kiache...., They are part of the Problem...
 
Umewahi kuona nchi za wenzetu? Fuatilia tukio la 9/11 utaelewa vizuri
Wenzetu pale huwezi kuta wamepeleka special forces, lile suala lilibebwa zaidi na Doj kupitia idara zake zaid, advantage moja wamejipanga wana vifaa vya kutosha, fire, police, emts,huduma za afya
 
Umewahi kuona nchi za wenzetu? Fuatilia tukio la 9/11 utaelewa vizuri
Tukio la 9/11 lilikuwa dharura kubwa ila vikosi vya zimamoto, police vilikuwa mstari wa mbele kwenye uokoaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…