Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Huyo Lipumba miaka yote alikuwa anatembelea nyota ya Maalim Seif, CCM wakamuingiza chaka saa hii anakutana na ukweli mchungu. Yeye na Mbatia tuliwaambia huo uchaguzi wa 2015 walipanda thamani kwa kuwa kwenye ukawa sababu ya cdm, waligoma kabisa ila saa hii hatuandikii mate.
 

Mbatia aliahidiwa na Jiwe wabunge watatu na Lipumba wawili huku akiahidiwa kufanywa mgombea mkuu wa upinzani hapo Jiwe hakujua hatima yake.

Sasa hivi yupo gereji kawatelekeza wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…