Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Akawaleta na watu wake wa IT kabla Kagame hajamchezesha JPM akamdhulumu mabilioni urafiki ukafa
Hata wewe unageuka rafiki yenu🤔. Wahenga wanasema ishi uone mengi 😂.Siamini kwa nikisikiacho kutoka kwako.Au mirija imeminywa unaipigania mipya hapo kwenu hivi sasa🤔
 
Hata wewe unageuka rafiki yenu🤔. Wahenga wanasema ishi uone mengi 😂.Siamini kwa nikisikiacho kutoka kwako.Au mirija imeminywa unaipigania mipya hapo kwenu hivi sasa🤔
Mkuu, umejiunga JF 2018 halafu unasema unanifahamu
 
Mkuu, umejiunga JF 2018 halafu unasema unanifahamu
Hata kama ingekuwepo Jf miaka 200 iliyopita mrengo na mitazamo ya mtu inafahamika hata pale unapoona au wandengereko wanasema hata unapo piga U turn ulishaacha alama za mienendo na mitazamo yako🤔
 
Kufa mara ngapi? Kuna chama hapo? Hawa wamebaki waganga njaa wachache tu wanabaingaza wapate kula. Tanzania kuna vyama vitatu tu. Bara kuna CCM ´na Chadema na visiwani kuna ACT na CCM. Hawa wengine wote kama CUF, NCCR nk wanabaingaiza tu.
Nimeshangaa kuna Chama kinaitwa NLD na mwenzao AdaTadea 😅😅 unaweza kuta kina wanachama mia 2 Tanzania Nzima
 
Mabandiko yako nayo nimeshayastukia, huwa unaweka kila jambo, kisha likitokea moja kati ya iliyosema unasema ulishaona hilo. Uko sawa na mtu anayesema mwaka huu kutakuwa na uhaba wa chakula, halafu hapo hapo unasema kutakuwa na chakula kingi kwani mvua itanyesha sana. Ikitokea moja kati ya hayo unasema ulitabiri.

Hilo bandiko ni la 2010, na CUF imekuja kufa baada ya blunder ya Lipumba, na Maalim Seif kuhama na Wafuasi wake. Inshort hakuna chama hujawahi kusema kitakufa.
Pasco ni bendera fuat upepo,mnafiki na ndumilakuwili
 
Moja ya victims wa Jiwe, alivuta mpunga yeye na Slaa wakakimbilia Rwanda kula bata.

Uchaguzi wa JPM kuwa Rais ulikuwa na Rwanda factor kama sponsor wa JPM.

Rwanda meddled our election kwa sababu ya bifu la kagame na JK, kagame aka sponsor JPM, mpaka akawa anawapa makazi watu wake
Viongozi viongozi,vizushi vizushi..acheni uwongo wa kijinga
 
Napata taabu kuamini kwamba hii siyo trick photography.
Hii picha ataonyeshwa Kamala Harris: kiongozi mwanamke anavyopendwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom