Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Profesa Lipumba na elimu yake alishindwa kujua mwenye mvuto huko CUF alikuwa ni Maalim Seif, na nguvu ya CUF ilikuwa Zanzibar hasa Pemba? Ni sawa na ACT ya leo wenye nguvu nao Wapemba na sio ACT huku Bara chini ya Zito. Lipumba ndio ameiua CUF kwa kukubali kutumiwa na ccm.