Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Jamaa ana PhD ya uchumi huyo.


Nimekumbuka ile motion ya debate, "EDUCATION IS BETTER THAN MONEY".
Mimi nadhani siasa inahitaji zaidi ya usomi kuna kitu cha ziada uwe nacho,ila kutegemea usomi nadhani unaweza angukia pua
 
Kwa kura sina Shaka na viti kibao, Ila kwa maagizo ya magufuli usishangae hata hao wagombea wa cdm kuishia kushambuliwa na watu wasiojulikana.
Tindo vipi? Njoo uone CCM walichowafanyia viongozi wako, bonge la choo mlevi wa konyagi chali! Umebaki na viti vya JF.
 
Tindo vipi? Njoo uone CCM walichowafanyia viongozi wako, bonge la choo mlevi wa konyagi chali! Umebaki na viti vya JF.

Kwenye uchaguzi gani labda?
 
Hapa ni Mheshimiwa Profesa Haruna Lipumba jukwaani:

FrK0-ONWIAIHzTk.jpeg


Enyi mliokuwa mnamshabikia, kumtelekeza huyu ndugu hivi awaeleweje?
 
Moja ya victims wa Jiwe, alivuta mpunga yeye na Slaa wakakimbilia Rwanda kula bata.

Uchaguzi wa JPM kuwa Rais ulikuwa na Rwanda factor kama sponsor wa JPM.

Rwanda meddled our election kwa sababu ya bifu la kagame na JK, kagame aka sponsor JPM, mpaka akawa anawapa makazi watu wake
 
Katika jambo litapelekea kufa kwa hicho chama cha Civil United Front - CUF ni kukubali kugawanyishwa kutokana na tofauti yao na Marehemu Seif Shariff.

Kila jambo linafanikiwa kutokana na Umoja, ndiyo maana CCM baada ya kunusa mgawanyo wa kuanzishwa Chama cha CCJ enzi za Marehemu Speaker Mzee wa Viwango ilibidi system iingilie kati na chama kikafa kabla hakijasajiriwa
 
Back
Top Bottom