Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Huyo Lipumba miaka yote alikuwa anatembelea nyota ya Maalim Seif, CCM wakamuingiza chaka saa hii anakutana na ukweli mchungu. Yeye na Mbatia tuliwaambia huo uchaguzi wa 2015 walipanda thamani kwa kuwa kwenye ukawa sababu ya cdm, waligoma kabisa ila saa hii hatuandikii mate.
Nyinyi Chama chenu mwaka huu mnaangukia pua. Mkipata wabunge zaidi ya 2015 mtakuwa mmetokea kwenye tundu la sindano.
 
Kwa kampeni ipi Lisu ya maana aliyofanya? Yeye anahangaika na vimiji ambako Kuna ushindani wa kisiasa wa kufa mtu vijijini kwenye wapiga kura asilimia 80 Wala hajagusa

Lisu Ni mgombea wa kwenye barabara za Lami

Asilimia 99.9 so far za kampeni zake kafanya near barabara za Lami

Ni barabara za Lami road show presidential candidate!!!

CCM tumekaba kila Kona hadikusiko na barabara za Lami Wala za vumbi tupo
huwezi fananisha Lisu aliyeichakaza karibu kila kona ya nchi hii kwa kampeni na huyu meko garibovu akipiga kimoja hoii anawahi gereji ,vip na yale maigizo ya helicopter au yamegeuka kuwa Helicobacter pylori
 
Huyo Lipumba miaka yote alikuwa anatembelea nyota ya Maalim Seif, CCM wakamuingiza chaka saa hii anakutana na ukweli mchungu. Yeye na Mbatia tuliwaambia huo uchaguzi wa 2015 walipanda thamani kwa kuwa kwenye ukawa sababu ya cdm, waligoma kabisa ila saa hii hatuandikii mate.
Analipa malipo ya usaliti
Kwani amepungukiwa nini? Yeye kazi yake ni kukunja hela ya ruzuku. Ni sawa tu na Tundu lissu anayejaza watu lakn hawezi kuwa raisi maisha yake yote
 
Nyinyi Chama chenu mwaka huu mnaangukia pua. Mkipata wabunge zaidi ya 2015 mtakuwa mmetokea kwenye tundu la sindano.

Kwa kura sina Shaka na viti kibao, Ila kwa maagizo ya magufuli usishangae hata hao wagombea wa cdm kuishia kushambuliwa na watu wasiojulikana.
 
Kwani amepungukiwa nini? Yeye kazi yake ni kukunja hela ya ruzuku. Ni sawa tu na Tundu lissu anayejaza watu lakn hawezi kuwa raisi maisha yake yote

Ni kweli kabisa, Ila Tundu Lisu anakubalika na wengi, amevuka hatua ya ruzuku. Alipofikia Lipumba alisharuka hatua za ruzuku. Hapo alipo hata akipewa ruzuku, sio kama ile alipokuwa kwenye chama chenye mvuto kwa mgongo wa Maalim Seif.
 
Ila na yeye kazingua mwenyewe.
Alipoenda mwanza alifanya mkutano wake center kabisa ya mji.

Kuna ka kituo kana space iko wazi ya Kama meter square Mia tano hivi.

Napo hapakujaa lakini watu walitoshea pakapendeza.

Sasa Kama mwanza kafanya Kampeni pahala padogo na hakujaza.
Nini maana ya kwenda huko kufanyia Kampeni kwenye liuwanja likuubwa, more than ten times wa aliofanyia mwanza.🤷🤷🤷🤷
 
Ila nimemkubali swala moja.
Ana tough skin.
Ngozi ngumu. Hakati tamaa, hatakama ameloose.

Na anakubali kushindwa. Lakini pia anaendelea kupambana
 
Back
Top Bottom