Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 723
Malipo ya usalitiMgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo ya usalitiMgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Na Maalim Seif nae alipewa ahadi ipi na Magufuli maana pia aliitwa mjengoni.Mbatia aliahidiwa na Jiwe wabunge watatu na Lipumba wawili huku akiahidiwa kufanywa mgombea mkuu wa upinzani hapo Jiwe hakujua hatima yake.
Sasa hivi yupo gereji kawatelekeza wote
nileteeni gwajima,nileteeeeni gwajima, nileteeeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMaendeleo hayana chama
Lipumba nimekubali Ni Profesa anajua nguvu ya Spika .Waliosikia ujumbe wake Ni maelfu kote inakofika hiyo sauti ya Spika ndio maana CCM hatutaki Spika mbovu mbovu Kama za Chadema za Lisu zinazokoroma utafikiri Zina kifafa hata walioko mkutanoni hawasikii anaongea Nini CCM tumewekeza kwenye mitambo ya sauti sio Spika
Namwaga Siri nikijua siku zimeisha na kote Lisu kapita kachemka na vi spika vyake vya betri za gari mbovu.Watu wanajaa lakini hawasikii kitu!!!!
Kipindi Cha Lala Salama Lipumba go Professor watakujua sanduku la kura kuwa wewe Ni Profesa au la.Utakaposhika nafasi ya pili kwenye kura ukimbwaga Lisu ndio watakuelewa
Mikoa yote ya Pwani na Zanzibar ushindani Ni Kati ya CCM na CUF tu na sehemu zenye waislamu wengi ushindani ni Kati ya CCM na CUF tu
Waislamu Weusi ndio wengi ambao wengi Ni CCM na CUF tu
ACT wazalendo Kuna waislamu Wapemba wachache wakiongozwa na Maalim Seif hivyo hawatupi Shida CCM na CUF tutawaonyesha Cha mtema kuni bara na Zanzibar
Chadema hawana political advisors wazuri walitakiwa waungane walau na CUF Kama lengo lilikuwa kuiteka Zanzibar!!!
CCM namwaga Siri nikijua muda umeisha na Chadema hawana uwezo wa kurekebisha.CUF inaenda kivyake
pamoja na uwizi wa tume na polisi watapata wabunge zaidi ya 120, huku kileleni akiwepo LisuCHADEMA wakipata wabunge hata wawili uchaguzi huu unijulishe
Kwa kampeni ipi Lisu ya maana aliyofanya? Yeye anahangaika na vimiji ambako Kuna ushindani wa kisiasa wa kufa mtu vijijini kwenye wapiga kura asilimia 80 Wala hajagusapamoja na uwizi wa tume na polisi watapata wabunge zaidi ya 120, huku kileleni akiwepo Lisu
Kwa kampeni ipi Lisu ya maana aliyofanya? Yeye anahangaika na vimiji ambako Kuna ushindani wa kisiasa wa kufa mtu vijijini kwenye wapiga kura asilimia 80 Wala hajagusa
Lisu Ni mgombea wa kwenye barabara za Lami
Asilimia 99.9 so far za kampeni zake kafanya near barabara za Lami
Ni barabara za Lami road show presidential candidate!!!
CCM tumekaba kila Kona hadikusiko na barabara za Lami Wala za vumbi tupo
Mbatia aliingaia chaka mazima
Labda ashinde vunjo
Maana uchaguzi huyu
Ni mgumu kwa wapinzani
Alikuwa anafanya press conference au mkutano wa hadhara? kama ni mkutano wa hadhara anaingia gharama zisizo za lazimaMgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Amshinde Kimei? Acheni masikhara!
MAPANDIKIZI ya CCM wanapata taabu sana.Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020