Picha: Raia wa kigeni azunguka na watoto Kariakoo kuomba msaada

Hebu milard ayo amssake auze hii news.
 
Mbona hapo unaonekana ni msikitini waumin akiwemo huyo jamaa wanaotoka kuswali
 
Kuna uzi nilisoma humu kuna mwanamama alikua anataka mtu amzalishe Ila sharti awe mzungu au white tu. Sasa nafikiri amfate huyu jamaa ili apate uroda
 
Kwa kweli leo imenishinda nilishazoea kusikia mchina anauza madafu sijui karanga mitaan inakuw tunawahis hawa labda ma spy.

Ila leo huyu jamaa anazunguka Kariakoo miskitin anaomba.hiv kwanin anatesa hawa watoto, kwanin asirud ubalozin akaomba msaada labda alipata na majanga yakasabisha ashindwe kurudi kwao?

Jinsia na jamii ebu tusaidien huyu jamaa ilikuwaje kuwaje?

Anazunguka na watoto lami peku barabara ya moto kama hivi

Aisee! Huyu mwamba niliwahi muona maeneo ya Mlimani City two weeks ago na hao watoto wake,inauma saana kwakweli.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa tunae kila siku hapa makutano ya mitaa ya Swahili &Udoe na Msimbazi halafu nahisi huyo mwanamke wake ni mjamzito.
 
Attachments

  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    21.1 KB · Views: 5
  • 20221007_130908.jpg
    20221007_130908.jpg
    84.3 KB · Views: 5
Kwa kweli leo imenishinda nilishazoea kusikia mchina anauza madafu sijui karanga mitaan inakuw tunawahis hawa labda ma spy.

Ila leo huyu jamaa anazunguka Kariakoo miskitin anaomba.hiv kwanin anatesa hawa watoto, kwanin asirud ubalozin akaomba msaada labda alipata na majanga yakasabisha ashindwe kurudi kwao?

Jinsia na jamii ebu tusaidien huyu jamaa ilikuwaje kuwaje?

Anazunguka na watoto lami peku barabara ya moto kama hivi

mbona anaonekana smart huyu!.
 
Umejuaje kuwa ni raia wa kigeni?
 
Huyu jamaa tunae kila siku hapa makutano ya mitaa ya Swahili &Udoe na Msimbazi halafu nahisi huyo mwanamke wake ni mjamzito.
Unaweza nifanyia mpango.kuna bi mkubwa wang anataka alee kile kitoto chake cha mwisho
 
Aisee! Huyu mwamba niliwahi muona maeneo ya Mlimani City two weeks ago na hao watoto wake,inauma saana kwakweli.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kama unaweza jins ya kum tag baloz wa turrkey tag.nahis huyu jamaa ila nimeskia akiomba kwa kiarabu.mdio amenichanganya.
All in all kwa nch za nje ustawi wa jamii hawana mchezo.hawa watoto angekatwa wakachukuliwa wanatafutiwa fosters care.kuna watu wanahitaj watoto kwa ulaya lakin mambo hayo.huwa inafika kipind inspectors wa social protection wanakuja mpaka kwako wanakagua chumba anacholala mtoto kama hataridhika anacomment kwenye form zake.unamkosa mtoto ingawaje umemzaa mwenyewe,hawatak mchezo kabisa na malez wanajua wakiacha wao serikal ndio watapata tabu ya kuja ku deal na makundi ya kihalifu siku za mbelen
 
Back
Top Bottom