Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
Hakuna Ujanja mbele ya MahakamaOhooo basi tutamuona
Na mwamba alienda kumaliza kesi hiyo iliyojaa fitna na majunguView attachment 3446127View attachment 3446130View attachment 3446131
Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
Tatizo hana upeo wa akili wa kujibu hoja. Keshazoea kukaririshwa hotuba na kutoa vijembe kama muimba taarab.Ohooo basi tutamuona
Alikuwa tayali, Rais Mstaafu..Hakuna Ujanja mbele ya Mahakama
Kipindi mahakama ikiwa mahamaHakuna Ujanja mbele ya Mahakama
Kesi hiyo ilitungwa na KikweteNa mwamba alienda kumaliza kesi hiyo iliyojaa fitna na majungu
Mkapa kimtindo alikuwa mwamba hana mambo ya uchawa + upambe
Ova
Hata angekuwa Rais angeenda tuAlikuwa tayali, Rais Mstaafu..
Hizi hizi za mchongo? Kipindi cha Kikwete na Mkapa kidogo mahama ziliheshimiwa, ila baada ya Magufuli kuingia aliigeuza majaji kuwa machawa wa serikali na imebaki hivyo hadi leoHakuna Ujanja mbele ya Mahakama
Na mwamba alienda kumaliza kesi hiyo iliyojaa fitna na majungu
Mkapa kimtindo alikuwa mwamba hana mambo ya uchawa + upambe
Ova
Tutahakikisha Mahakama inarejeshwa kwenye reliHizi hizi za mchongo? Kipindi cha Kikwete na Mkapa kidogo mahama ziliheshimiwa, ila baada ya Magufuli kuingia aliigeuza majaji kuwa machawa wa serikali na imebaki hivyo hadi leo
Kumbuka huyo ni mkapa, na hawa wa sasa nasikia mnawaita wahuni.. wanao ona katiba kama kajikitabu tuHata angekuwa Rais angeenda tu
Hizi hizi za mchongo? Kipindi cha Kikwete na Mkapa kidogo mahama ziliheshimiwa, ila baada ya Magufuli kuingia aliigeuza majaji kuwa machawa wa serikali na imebaki hivyo hadi leo
Hana, na hata kama ni mgonjwa Mahakama itamfuata ICUKwani shahidi hana haki kukataa kufika mahakamani?
ndio maana hata Lisu kaufyata mkia mahakamani haropoki tena dah 🐒Hakuna Ujanja mbele ya Mahakama