kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
kweli ndo mama ataweza kweli Mzee mkapa tu picha inaonesha anajikukbusha alichokaririshwa na wakili mgogolwa chakujibu kizimkazi ataweza kweli
Ikumbukwe kwamba Hangaya ni Shahidi wa Utetezi na Wakili wa Utetezi atakayemuongoza anaitwa Tundu Lissukweli ndo mama ataweza kweli Mzee mkapa tu picha inaonesha anajikukbusha alichokaririshwa na wakili mgogolwa chakujibu kizimkazi ataweza kweli
😀😃😀😃😃😃 kizimkazi kazi anayoIkumbukwe kwamba Hangaya ni Shahidi wa Utetezi na Wakili wa Utetezi atakayemuongoza anaitwa Tundu Lissu
Ngoja tuone mama atakavyodemka😀😃😀😃😃😃 kizimkazi kazi anayo
Oh kweli aliyetakiwa kutendewa UHAINI akathibitishe mahakamani.Hakuna Ujanja mbele ya Mahakama
Kuna mtu fulani tokea wakiwa foreign walikuwa hawaelewaniZamàn tulikuwa na viongozi wenye akili sana
Kwa sasa ni hamna kitu
Mkapa aliyajua hayo akaamua amalize mchezoKuna mtu fulani tokea wakiwa foreign walikuwa hawaelewani
Naona alipopata nafas tu akataka kumfix,mwamba ndy akaenda kumaliza mzizi wa fitnaaa
Ova
Mkapa alikuwa mwamba kona kona uswahili hana mambo hayoMkapa aliyajua hayo akaamua amalize mchezo
Sema JK naye ana visasi vya kizamani sana, kila aliyekorofishana naye ni lazima amkomeshe!Mkapa alikuwa mwamba kona kona uswahili hana mambo hayo
Ova
Weeee!!!!
Halafu alikuwa pisi kali.Weeee!!!!
😄Sema JK naye ana visasi vya kizamani sana, kila aliyekorofishana naye ni lazima amkomeshe!
😄
Ni kweli, nilikutana naye Mahakamani nilipofuatilia kesi yangu na WachinaHalafu alikuwa pisi kali.
Sahihi kabisa. Magufuli alipoingia madarakani ndio mifumo yote ya utawala ilifubaa kwa cheo cha urais. Na huyu alipoingia akaamua kutembea humohumo kwenye njia ya Magufuli.Hizi hizi za mchongo? Kipindi cha Kikwete na Mkapa kidogo mahama ziliheshimiwa, ila baada ya Magufuli kuingia aliigeuza majaji kuwa machawa wa serikali na imebaki hivyo hadi leo
Kajifunze kuandika.Alikuwa tayali, Rais Mstaafu..
Una nukuu yoyote akiwa anaropoka ewe Malaya wa kisiasandio maana hata Lisu kaufyata mkia mahakamani haropoki tena dah 🐒