Picha: Rais Benjamin Mkapa akiingia Mahakamani kutoa Ushahidi kwenye kesi ya Ufisadi iliyowakabili Costa Mahalu na Grace Martin

Picha: Rais Benjamin Mkapa akiingia Mahakamani kutoa Ushahidi kwenye kesi ya Ufisadi iliyowakabili Costa Mahalu na Grace Martin

View attachment 3446127View attachment 3446130View attachment 3446131

Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
Kumbuka hilosakata Jitu Kubwa alirukwa namwanzoni wakati mchakato unaanza alikwepo na yeye ndie alikua na wizara .kulikua na kabifu nahapo ya likua ni simu imepigwa ili kitu kamahiki kitokee nisiku atakayepewa u presda awe nakinyongo au ugomvi frani rejea Jiwe na JituKubwa na Matajiri jeuri
 
Alienda mahakamani akiwa Raisi.mstaafu siyo aliyeko madarakani

Badilisha kichwa cha habari jisomeke Raisi mstaafu akiingia mahakamani

Kuna tofauti ya Raisi aliyeko madarakani na Raisi mstaafu
 
Mkapa alikuwa mwamba kona kona uswahili hana mambo hayo

Ova
Hana umwamba wowote Mkapa.
Eti shahidi wa utetezi kahojiwa na wakili wa Mahalu. Direct exam. Hakuna Cross Exam. Ushaona wapi duniani?

Mkapa alikuwa anaishi New York, Columbia University, kabla mimi sijazaliwa. Kwa nini hawaku observe mambo yanavyokwenda wayalete Africa waimarishe utawala wa sheria kwa mfano? Sijui walikuwa hawana TV huko au wametoka Nanyumbu, Mtwara, hawaelewi kinachosemwa kwenye habari ?

Eti Rais akiidhinisha basi hakuna kesi. Maandishi yako wapi, mmeombana na kuidhinishiana kwenye simu ?

Sheria imevunjwa au haijavunjwa? We don't give a ga damn nani kakutuma na nani kaidhinisha. Waziri akimwambia Katibu, hebu piga hiyo hela, likisanuka ntakuja ku testify nilidhinisha mimi tukaagize pembejeo na sukari ya dharura. No paperwork no nothing. Kwenye simu. Wanatoboa ? Mahakama dhaifu. Bunge dhaifu. Ikulu dhaifu. Fourth Estate, waandishi, dhaifu.

Eti Mkapa akiongozana na maafisa itifaki. Wanaogopa kuandika alikuwa na mgambo wa Usalama wa Taifa.
 
Angelazimishwa na Mahakama ipi na ya wapi ? Nikiqoute JPM Ingawa kuna Separation of Power ila kuna Mihimili yenye nguvu kuliko mingine in short haya mambo duniani kote yapo kinadharia with a lot of loopholes na kama mtu ana nguvu atapenya tu (Ndio maana hata sasa hivi USA a they have a Convict for a President); Everything has got a loophole....
Kwamba alijipeleka si kweli
 
Hana umwamba wowote Mkapa.
Eti shahidi wa utetezi kahojiwa na wakili wa Mahalu. Direct exam. Hakuna Cross Exam. Ushaona wapi duniani?

Mkapa alikuwa anaishi New York, Columbia University, kabla mimi sijazaliwa. Kwa nini hawaku observe mambo yanavyokwenda wayalete Africa waimarishe utawala wa sheria kwa mfano? Sijui walikuwa hawana TV huko au wametoka Nanyumbu, Mtwara, hawaelewi kinachosemwa kwenye habari ?

Eti Rais akiidhinisha basi hakuna kesi. Maandishi yako wapi, mmeombana na kuidhinishiana kwenye simu ?

Sheria imevunjwa au haijavunjwa? We don't give a ga damn nani kakutuma na nani kaidhinisha. Waziri akimwambia Katibu, hebu piga hiyo hela, likisanuka ntakuja ku testify nilidhinisha mimi tukaagize pembejeo na sukari ya dharura. No paperwork no nothing. Kwenye simu. Wanatoboa ? Mahakama dhaifu. Bunge dhaifu. Ikulu dhaifu. Fourth Estate, waandishi, dhaifu.

Eti Mkapa akiongozana na maafisa itifaki. Wanaogopa kuandika alikuwa na mgambo wa Usalama wa Taifa.
😆😆😆😆 kama ni hivyo si angeshitakiwa Mkapa basi, Why Mahalu?
 
Kwamba alijipeleka si kweli
Naam na ilikuwa kwa faida yake mwenyewe sababu mwisho wa yote ile Kesi ingekuwa yake (zigo lingemuangukia) kwahio akazima kwamba ni kweli na yeye ndio alikubalia manunuzi yafanyike hivyo likazimwa (na mwisho wa siku unamsifia / anasifiwa kwa kuheshimu mahakama) wakati ingebidi tumuweke mtu Kati kwa Ufisadi uliofanyika (alioufanya)...

Mkuu Mamlaka ndio imeshika mpini hawashindwi kupindisha mambo na hii Mihimili mingine ni nyezo zao na wanazitumia kwa manufaa yao..., Na hii hata USA ni mambo yaleyale tu..., Sasa hivi Republicans Supreme Court imejaa watu wao Trump aliowa appoint; Juzi tu hapa Biden alitoa msamaha kwa mwanae (unconditional Pardon) na Trump aliwasamehe wale vichaa waliovamia congress..., In short ni kama alivyosema ndugu Amita... (Andhaa Kanoon)


View: https://youtu.be/q9eTGZE0638?si=yy2zM7eHWahe3hU6
 
halafu nani alikuwa raisi kipindi hicho? hii nchi ili tuweze kwenda mbele ni lazima purging itokee kwanza ndiyo tubonyeze reset button na kuanza upya, bila ya hivyo kunguni hawatoisha ...
 
halafu nani alikuwa raisi kipindi hicho? hii nchi ili tuweze kwenda mbele ni lazima purging itokee kwanza ndiyo tubonyeze reset button na kuanza upya, bila ya hivyo kunguni hawatoisha ...
Aliyekuwa Rais alikuwa Kikwete
 
Mikataba miwili ya ununuzi wa jengo na akaunti mbili katika benki tofauti.

Waliofungua hilo shitaka walikuwa sahihi kuna jambo waliona halipo sawa.
 
Back
Top Bottom