Picha: Rais Benjamin Mkapa akiingia Mahakamani kutoa Ushahidi kwenye kesi ya Ufisadi iliyowakabili Costa Mahalu na Grace Martin

View attachment 3446127View attachment 3446130View attachment 3446131

Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
Kwa sisi walevi tutasema aliyebumba haya mashitaka hewa alimalizana na Ben na sasa Prof. Costa Mahalu anamalizikia na ugonjwa taaratibu hahaha kuna watu miungu watu huwezi jua hata kama wao wanahusika. Aisee usitafute ugomvi na hilo kundi/familia utakwisha kwanza hawasamehi wao ni kifo tu
 
Mkuu Profesa Mahalu naye kapuliziwa upupu wa Putin?
 
Naskia msala wote ni huyo mwanamke alikuwa wa JK Mahalu akawa anagonga.

RRONDO Stuxnet
Ni kweli na Shida ya Jeikei ni wivu, anapokula yeye hataki mwingine Ale, mwanamke unaepaswa kumuonea choyo ni mke wako tu

Kuna dada mmoja wa Kitanga Dito alikuwa anamtafuna baadae Jeikei nae akamtaka …. alipoànza kumtafuna akamtel Dito asiendelee tena ili ale yeye tu …. Wanadai dada wa Kitanga alikuwa Mtamu kweli

Hata ishu ya babu Seya ni uhuni tu ….. yaani baba kaka na mtoto wote wabake sehemu moja…. Impossible … kumbe mwana alikuwa anakula chakula ya boss with all warnings but akaendelea kupuliza

Msela alikuwa anawaalika miss Tanzania pale jumba kuu kwa lengo la kuwaambia wasaidizi wake nileteeni yule mrefu mrefu

Jamal Selfish sana alafu muhuni
 
Astaghafillullah
 
Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
Mkuu hivi umesoma ulicholeta ?

Moja Mkapa ndio aliamua kwenda kutoa Ushahidi (kumtetea mdau wake sababu yeye ndiye aliyehusika kwa kubariki kilichotokea)

Mbili ilikuwa ajabu na angeweza kupindisha hadi JK alishangaa UAMUZI wa MKAPA (Hence Uamuzi ulikuwa wa Mkapa)

Mkapa kwenye kitabu chake anasema ALIKUBALI kwenda sababu alikuwa anajua ukweli Which means angeweza kukataa...

Ulicholeta sio evidence ya unachosema...
 
Naskia msala wote ni huyo mwanamke alikuwa wa JK Mahalu akawa anagonga.

RRONDO Stuxnet
Grace Martin alikuwa mke wa Martin yule mfanyabiashara. Whether Mahalu alikuwa anakula mzigo hilo sijui ila nafahamu kuwa alimua mwaka 1997/98 na harusi ilifanyikia pale La Dolce Vita karibu na NDC Club enzi hizo.

Martin baada ya ku disco IDM Mzumbe alijihusisha na biashara za electronics na tiles kati ya Milan na Dar. Hivyo Mahalu akiwa amepata ubalozi wa Tanzania kule Italy alimkuta Martin tayari ni mtoto wa mjini.

Martin anweza kuwa alikuwa ni sehemu ya deal (mtu kati) ya kununua nyumba ile iliyowaletea matatizo. Ila baada ya mgogoro wake na mkewe akaamua kulisanua kwa JK immediately alipoingia madarakani mwaka 2006.

Grace aligundua kuwa Martin hakuwa mwanaume wa kufikia malengo yake kimaisha, hivyo alianza kum-ignore
 
Tupiako basi kapicha Ka grace
 
Mkuu hivi umesoma ulicholeta ?

Moja Mkapa ndio aliamua kwenda kutoa Ushahidi (kumtetea mdau wake sababu yeye ndiye aliyehusika kwa kubariki kilichotokea)

Mbili ilikuwa ajabu na angeweza kupindisha hadi JK alishangaa UAMUZI wa MKAPA (Hence Uamuzi ulikuwa wa Mkapa)

Mkapa kwenye kitabu chake anasema ALIKUBALI kwenda sababu alikuwa anajua ukweli Which means angeweza kukataa...

Ulicholeta sio evidence ya unachosema...
Hakuna Mahakama inayokubali shahidi wa kujipeleka, Mkapa alitajwa na Mahalu akaitwa na Mahakama, japo alisema alikubali bali pia hakuwa na uwezo wa kukataa maana angelazimishwa kufika
 
Na mwamba alienda kumaliza kesi hiyo iliyojaa fitna na majungu
Mkapa kimtindo alikuwa mwamba hana mambo ya uchawa + upambe

Ova

Sababu mkapa alifaidika na huo ufisadi. Hata kwenye wizi wa mabilioni ya EPA pale BOT mkapa alifaidika. Ila akaishia kuomba msamaha tu kwenye kitabu chake
 
Hakuna Mahakama inayokubali shahidi wa kujipeleka, Mkapa alitajwa na Mahalu akaitwa na Mahakama, japo alisema alikubali bali pia hakuwa na uwezo wa kukataa maana angelazimishwa kufika
Angelazimishwa na Mahakama ipi na ya wapi ? Nikiqoute JPM Ingawa kuna Separation of Power ila kuna Mihimili yenye nguvu kuliko mingine in short haya mambo duniani kote yapo kinadharia with a lot of loopholes na kama mtu ana nguvu atapenya tu (Ndio maana hata sasa hivi USA a they have a Convict for a President); Everything has got a loophole....
 
Back
Top Bottom